The House of Favourite Newspapers

Polisi Yamkamata Halima Mdee

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni asubuhi ya leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 walimkata Mgombea Ubunge wa Kawe, Halima Mdee wa Chadema kufuatia sintofahamu iliyojitokeza katika zeozi la upigaji kura jimboni humo. …

Gwajima; Halima Mdee Njia Panda

JIMBO la Kawe linawaka moto hivi sasa kwa kampeni za kukata na shoka, kati ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima…