The House of Favourite Newspapers

Nature: Singeli Haiwezi ‘Kufa’

STORI: NA ANDREW CARLOS | AMANI | Showbiz Xtra MKONGWE wa Muziki wa Bongo Fleva, Juma Kassim ‘Nature’ amefungukia baadhi ya madai ya watu wanaosema Muziki wa Singeli ni wa muda mfupi na kuwaambia kuwa, hata iweje muziki huo…