The House of Favourite Newspapers

MAN FONGO, SHOLO WATAMBIANA

SIKU zikiwa zinah-esa-bika kufikia Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka), wakali wawili wanaotikisa katika Muziki wa Singeli Bongo, Sholo Mwamba na Man Fongo wameanza kuta- mbiana kufun- ikana kila mmoja katika bonge la shoo la Usiku wa…

Man Fongo Adondoka Juu ya Paa

MSANII wa muziki wa Singeli nchini, Amani Fongo ‘Man Fongo’ mwishoni mwa wiki iliyopita alinusurika kifo baada ya kutereza juu ya paa la nyumba wakati akiweka balbu ya umeme. Akisimulia mkasa huo kwa Risasi Vibes, Man Fongo alisema…

Man Fongo Amuita Bozi Kwenye Singeli

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA MAKUBWA! Kufuatia ugumu wa maisha kwenye tasnia ya sanaa nchini, msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu Bozi,    ’ ameibukia kwenye Muziki wa Singeli na yupo mbioni kuibuka na wimbo…

Jiji Concert Kutikisa Dar Live

UNAAMBIWA historia itaandikwa na jiji litasimama kwa saa 24, pale ambapo jukwa la kimataifa la kupanda na kushuka lilipo Kiwanja cha Taifa cha Burudani, Dar Live jijini Dar litakapobeba kijiji cha wasanii kupitia Tamasha la Jiji Concert…

Basata Nayo ni Mzigo?

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), kwa kushirikiana na mamlaka nyingine lilifanikisha prodyuza mkali Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk Majani’ kupata kitita cha zaidi ya shilingi milioni mia moja ikiwa ni fidia kutoka kwa msanii wa Uganda, Jose…