The House of Favourite Newspapers

Kataa kuwa mpira wa kona

JUMATANO saafi , Shangingi wenu nimejaa tele kuwaletea ile kitu roho inapenda. Niwape maneno yenu pambe, niwachambe vizabizabina msio na haya wala hamjui vibaya. Kuna tabia za baadhi ya wanawake huwa najiuliza wamezaliwa au wametupwa…

Utamu wa pipi mate yako!

WAPE habari wenye habari zao. Shangingi Mstaafu nakuja kifua mbele kuwapa maneno pambe, si mnanijua vizuri eeeh! Mwaka ndio huo unaanza, wanawake mjitambue sasa!  Mwanamke ujitunze uolewe sio kudanga tu miaka nenda rudi…

Moto hafunikwi shuka

MIMI sihitaji mkeka; kwani nataka kuswali? Miye hata chini naketi, kikubwa ujumbe ukufike bibiye upooo!?  Kuna mwenzenu mmoja kaninukisha shombo, basi hapa najisikia kichefuchefu cha hatari; na kama mjuavyo pa kutapikia sina…

Ubora wa radio iwe na pa kuzimia

SHOGAANGU miye upooo? Nishaupiga mswaki tena, ruksa kukupasha; ukiwa na nongwa ya senene kuficha kichwa watu watakuchezea mkia, heee heeeyaaa.  Cheko hilo shogaangu usiseme ni la heri, hapa michambo ni nyumbani kwake; Pwani hakuchumwi…

Uzuri wa uwanja usafishwe

PAAAMBE SHOGA... wanakwambia mfuniko wa soda hautunzwi na ukitaka kujua kanga ina umuhimu nenda ukweni na taiti, upo nyonyo? Heee heeeeeiyaaaaa heri uwe na guu la bia kuliko kiuno cha tembo, hujulikani mbele wapi nyuma wapi,…

Dela la kuazima Halichafuki

WANAKWAMBIA ndege wafananao huruka pamoja nashanga wee bundi sijui utaruka na nani? Hehe heeeiyaaaaaa! Shoga mji wa moto huu, unaweza kukoroga maji ya baridi ukajua ni chai!  Acha nijimwayemwaye, wee shangaa kama mkulima wa vitunguu…

Mahaba: Punguza Moto Wali Uive

HALOOOO eeeehhh shoga wanakwambia mjini raha jipe mwenyewe, hata kama mtu mzima nunua pampas kisha jikojolee, kwani bei gani! Unajifanya kuvaa viatu virefu wakati hata ndala ya msalani huna!  Shoga usiwe kama pipa lililokosa mfuniko…

Taa ya gari haifungwi chumbani

WAAREEEEE miye ndiye dokta nimeachiwa hospitali wagonjwa wote ruksa kutibiwa bure, kulala bure hata wakitaka ruhusa nawaruhusu! Unaloooo bibiyeeee ulidhani ukivaa lemba ndiyo heshima wakati hata wasio wema wanalivaa! Heee heeeiyaaaa! …

Utamu wa chai sukari

BINADAMU bwaana hata ukiogelea watakwambia unawatimulia vumbi, paaaambeee shoga! We endelea kunishangaa Anti Naa badala ushangae mlango mkubwa unalindwa kwa kufuli dogo, heee heeeeiyaaaa!  Shoga umbeya huu unaweza kujikuta unakata kiu…

Mwenye nyumba hanyimwi chakula

PAAAMBEEE shoga tumekutana tena kwenye kona yangu mimi shangingi mstaafu mwingine fotokopi, nasikia kuna watu wanajiita mashangingi wastaafu sifa yao kubwa kunywa pombe za watu na kuambulia kipigo mikovu kibao kama kibaka mzoefu, heee…

Raha ya mapenzi, kudamka!

HAYA tena shoga yangu, kujifanya kuvamia sherehe za watu na dera la msiba kimbelembele hadi wka bi harusi inahu? Hivi jamani kwani lazima kila koki ni ya kufungua? Na utajiuliza sana hiyo kudamka veeepe! Shoga kama ulizoea kujiwekea…

Mgomba haugeuzwi kuni

KUJIFANYA mjanja ukafukuza kuku mweusi kwenye giza ulidhani utampata? Heee heeeiyaaa kwa taarifa yako muhogo muhogo hata ukiupaka blue band bado utabaki kuwa muhogo, upo nyonyo? Nashangaa unaringia shepu ya baiskeli wakati…

Mdomo Hauna Vocha

WAREEEEREEE shoga yangu najua umezoea cheko la nyundo haya sasa leo nakupa la msumari nginja nginja! Haya tena sikukuu ndiyo hiyoo imepita kaama hukushiba kwa tonge basi kaa ukijua huwezi kushiba hata kwa kujilamba, upo nyonyo? …

Raha ya chakula mboga

WANAKWA-MBIA jogoo anawika lakini hawezi kutaga! Heri yangu niliyevaa mtandio kuliko weeweee unayeanika makalio heee heeeiyaaaa! Na utachuna mwaka huu, ukiona mikono haitakati kwa kunawa basi chukua nguo ufue, hebu tupishe siye…

kelele za mbu hazinyimi usingizi

WALETEEEE KELELE shogaa wanakwambia chakula cha harusini hakishibishi na ukitaka kujua masikini na tajiri ufike muda wa zawadi kwa maharusi, wareeee reeee! Miye tena niliokosa zipu kwenye mdomo, linalopita mbele yangu naongea tu kwani…

ASALI HAILAMBWI KWA NCHA YA KISU

ASALI Shoga wanakwambia raha ya mwanaume awe na madeni na mwanamke sharti alijue jiko siyo kukalia umbea hadi domo limekaa upande, upo nyonyo? Kama ulikuwa hujui jua sasa, hata kichungu nacho huonjwa ati, wareeeeereee!  Nashanga bia…

WIMBO MZURI HUMBEMBELEZA MTOTO

ENDELEA kuamini kopo la msalani wakati wenzako tunaliamini taulo, kwanza linatunza siri, hata urudie kujifutia sehemu hiyohiyo halisemi kitu, upo nyonyo? Wahenga wanasema kinywa cha mkubwa kinanuka lakini maneno hayanuki.  Shuuuutuuu…

MOTO HAUFUNIKWI NA SHUKA

HALOOOO eeeehhh na utanyauka mwaka huu kama siyo kukauka kabisa! Aliyekwambia kandambili yapigwa kiwi nani? Muone jibaba zima ndevu zimejikunja kama machicha ya nazi! Heee heeeiyaaa nicheke miye mjini sikuja na kanga mwenzako nilikuja…

TUI LA NAZI HALITENGENEZI CHAI!

HEYAHEYA, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo. Kama hewa ingekuwa inauzwa kama luku mbona wengi tungepumua kwa mahesabu kila muda unaangalia kama mita imeanza kuisha! Hee…

MFANYE MUMEO AWAHI NYUMBANI

SIPENDI na wala sitaki kusikia kwani unamkosesha raha mtoto wa mwenzio, kuku wako mwenyewe kwa nini akushikie manati. Kwa nini uishi na mumeo kama kaka yako? Sipendi na kama unatabia hizi ukome na ukomae.  Haya tuendelee…

PUNGUZA MAJI UGALI UIVE

NASHUKURU kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo ambayo hawakuyapata hapo awali, siyo wote wamepitia mafunzo ya utaratibu wa maisha wa jando au unyago.  Kutokana na kupokea maombi ya kina baba nao kuomba niwakumbuke katika ufalme wa…

SHOGA JEMBE LAKO, AKULIMIE NANI?

HE he he heeeeiya, acha nicheke miye Anti Naa mwana wa mashabiki, mjukuu wa maiki! Shoga hivi unajua kuna vitu vinachekesha kama siyo kusikitisha ati? Mwanamke mwenzangu mzima unalalamika kuzidiwa kete na hausigeli inahu?  …

TRENI HAITEMBEI KWENYE LAMI

SHOGAA eeeeh kwanza una kifua? Nisije sema neno hapa ukadondoka kwa kukosa pumzi bureee! Heee heeeiyaa wanakwambia kigodoro hakina muziki laini bibi weeee!  Kuku hachunguzwi afya hadi afariki mwenyewe, upo nyonyo? Ukitaka kujua pasi…

MWENYE NYUMBA HAKAI FOLENI

HALOOOO eeehhh...vijana wa leo wanakwambia ukitaka kuona raha ya pombe povu lake na mjini hakuna mtoto mdogo ati ukikaa baa, basi we mtu mzima tayari hee heeeeiyaaaa! Shoga hakuna kitu kinachonikera kama mtu kujifanya mlango wa choo…

DIRISHA HALIFUNGWI NA KUFULI

SHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema mchokoze chizi, haloooo eeeehh! Utajibeba mwaka huu wakati mbeleko zinafungwa kiunoni wajanja…

KUKU HAKANYAGI MARUMARU

HALOOOOO eeeh sho­ga yangu mwenza­ko nam­shukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioni­wezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za chumbani zaidi au nako­seaaa! Baada ya wiki iliyopita kuwazungumzia wenzetu wanaoishi…

KIJIKO CHA JIKONI, HAKIOGOPI MOTO

HAYA jamani nimekuja miye mwenye maneno ya shombo, eti sina tofauti na harufu ya nguru, sina siri kama kitanda cha chuma kilichochoka ambacho wakati wa mambo yetu hasa mwanamke anapokukuruka kisawasawa, lazima majirani wapekepeke salamu…

MCHAWI WA DEREVA BREKI

SHOGAAAAA eeehh wanak-wambia hata kizibo ni mfuniko japokuwa huwezi kufunikia sufuria, heee heeeeiyaaaa! Tangu lini kijiko cha jikoni kikaogopa moto? Unajifanya mjanja wa mjini wakati simu yako ina MB 4, haloooo eeeeh! Endelea tu na…

TAA YA GARI HAIFUNGWI CHUMBANI

PAMBEEEEEE shoga wanakwambia mkaa mkaa tu hata uwekwe ndani ya maji utabaki kuwa mweusi, upo? Utabaki kushangaa wenzako tunapiga hatua kwenye maisha wewe utapiga hatua kwa kutembea, hee heeeiyaaaaa!  Shoga utaishia kuvaa…

MAJI YA BAHARI HAYAPIKIWI CHAI

HALOOOO eeeehhh! Unajifanya barafu umesahau kama unayeyuka! Wee ringia sura siye tunaringia ngozi! Shoga nashanga unalamika oooh mambo yako hayaendi si uende wewe! Heee eheeeiyaaaaa! Kama ulikuwa hujui mchawi mtu paka katu-mwa tu, upo? …

MSAADA HAUNA RISITI

Shoga wakati mwingine huwa naongea sana hadi koo lanikauka, naomba kwa leo niishie hapa! Kwa wewe ambaye upo kwenye uhusiano nikutakie Valentine’s Day njema! Kaa na mchumba... WEREEE reeee kama hujapendwa mwaka huu basi subiri huenda…