The House of Favourite Newspapers

Tid: Media Ziligoma Kupiga Muziki Wangu

TOP In Dar kwa kifupi TID; ni supastaa wa muziki wa RnB Afrika Mashariki akitokea nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, kuna baadhi ya vyombo vya habari (media) ambazo ziligoma kupiga muziki wake kwa lengo la kuzima kipaji chake.…

Tid: Corona Isiwe Kiki!

BAADA ya dunia na nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania kukumbwa na janga zito la virusi vya Corona na baadhi ya mastaa kujitangaza kuwa na virusi hivyo, msanii wa muziki wa Bongo Fleva; Khaled Mohamed ‘Tid’, amefunguka kuwa watu wasitumie…

TID, MZAZI MWENZIYE PACHIMBIKA!

DAR ES SALAAM: Mambo siyo poa kwa wazazi wa binti aitwaye Tania, Khaleed Mohamed ‘TID’aliye mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva na mama mtoto wake Shekha Mdogo a.k.a Miss Small Shekha. Wawili hao wameingia kwenye mvutano baada…

TID: SIJARUDIA MADAWA JAMANI

MKONGWE kunako Muziki wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’ amewajia juu wanaoendelea kumhusisha kurudia matumizi ya madawa ya kulevya kwa kusema kuwa hakuna kitu kama hicho na wanaoeneza taarifa hizo wana lengo la kumchafua…

TID: Mimi Mnyama Nisameheni

Na DENIS MTIMA| GAZETI LA UWAZI| HABARI Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Khaleed Mohamed ‘TID’, aka Mnyama, jana alipata nafasi ya kipekee ya kuzungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,…

Apple kuinunua Tidal ya Jay Z

Marekani KAMPUNI ya teknolojia ya Apple nchini Marekani inadaiwa kutaka kuchukua umiliki wa huduma ya kusikiliza muziki ya moja kwa moja kutoka Kapuni ya Tidal inayomilikiwa na mwanamuziki maarufu duniani Jay Z . Apple imeripotiwa kwamba…