The House of Favourite Newspapers

 Aliyeisumbua Zesco arejea Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amemjumuisha kiraka wake Mapinduzi Balama kwenye msafara wa timu hiyo utakaoifuata Zesco Zambia. Yanga inatarajiwa kuvaana na Zesco Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa huko Ndola,…

Zesco Yabadili Mazoezi Yanga

BAADA ya washambuliaji wa Yanga kushindwa kufanya vizuri kwenye mchezo uliopita dhidi ya Zesco, hatimaye kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera ameamua kubadili programu yake ya mazoezi. Yanga walitoka sare ya bao 1-1 na Zesco ya…

Tshishimbi: Tunawapiga Zesco

NAHODHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amesema wanajiandaa vema kuhakikisha wanashinda mchezo wa nyumbani kabla ya kurudiana nchini Zambia kwa wapinzani wao, Zesco United.   Yanga inatarajiwa kuvaana na Zesco katika mchezo…

Wakenya Watumika Yanga Kuwaua Zesco

KABLA ya kucheza na Zesco, Yanga imepanga kucheza michezo miwili ya kirafiki ukiwemo mmoja wa kimataifa kutoka moja ya klabu nchini Kenya. Yanga inatarajiwa kucheza na Zesco katika mchezo wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati…

Phiri atuma salamu Simba, Yanga

MSHAMBULIAJI wa Zesco FC ya nchini Zambia, Moses Phiri ambaye Simba na Yanga zimekuwa zikionesha nia ya kumsajili kwenye usajili wa dirisha dogo, ametuma salamu baada ya wikiendi kufunga bao. Phiri alifunga bao moja kwenye…

Molinga Atamba Kuwamaliza Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Namungo, David Molinga ‘Falcao’ ametamba kuwa amejipanga kufanya vizuri katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara hususani atakapokutana na waajiri wake wa zamani klabu ya Yanga. Molinga alikamilisha usajili…