×

Habari

Yas Yazindua Kampeni Mpya ya Zingatia Mtandao wa Viwango

28 Aprili 2026, Dar es Salaam. Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania imezindua rasmi kampeni yake mpya ya ‘Zingatia Mtandao...

READ MORE

Exim Bank Yaunga Mkono Juhudi Za Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Katika kuendelea kuunga mkono juhudi za Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutekeleza mageuzi makubwa ya elimu nchini, timu ya...

READ MORE

Iran Yatoa Mpango Mpya wa Amani: Hormuz Ifunguliwe, Mazungumzo ya Nyuklia Yasogezwe Mbele

Iran imeripotiwa kutoa pendekezo kwa Marekani linalolenga kufungua tena Mlango wa Hormuz na kupunguza mvutano unaoendelea, huku ikipendekeza kwamba mazungumzo...

READ MORE

Mtaka Azitaka Sekta ya Fedha Kuwekeza Kwenye Huduma za Dialysis,Nmb Yatoa Mil 200

  Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ( kushuto) akipokea mfano wa hundi kutoka Meneja wa NMB Kanda ya...

READ MORE

CCM na CPC Zakutana Dar Kujiandaa Kumpokea Liu Haixing Mei 2026

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndugu Rabia Abdalla Hamid akiwa...

READ MORE

Mwigizaji Mkongwe Hashim Kambi Afariki Dunia Dar es Salaam

Mwigizaji mkongwe wa filamu nchini Tanzania, Hashim Kambi, amefariki dunia leo, tarehe 27 Aprili 2026, nyumbani kwake eneo la Sinza,...

READ MORE

Watu 37 Wakamatwa Kwa Vitisho na Lugha Chafu Mtandaoni – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata watu 37 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa ya kimtandao, ikiwemo...

READ MORE

Trump Afichua Kwa Nini Anaendelea Kuandamwa na Mashambulizi

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa kauli iliyozua mjadala mkubwa baada ya kuulizwa moja kwa moja kwa nini anaendelea kuwa...

READ MORE

Uchambuzi wa Asasi za Kiraia Kuhusu Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uchaguzi 2025

Asasi za kiraia na watetezi wa haki za binadamu tuna jukumu muhimu katika jamii la kulinda na kutetea haki za...

READ MORE

Simulizi ya Uchungu: Neema Anderson Atoroka Oman Kupitia Dirishani – Video

Mtanzania Neema Anderson aliyetoroka kupitia dirishani kwenye ghorofa ya pili nchini Oman amerejea nchini Tanzania na kuzungumza mengi na Global...

READ MORE

Airtel Yazindua Mnara Mpya wa 4G Naguruwe Kuboresha Mawasiliano Vijijini

Mtwara, Aprili 18, 2026 — Kampuni ya Airtel Tanzania imezindua mnara mpya wa mawasiliano wa 4G katika Kata ya Naguruwe,...

READ MORE

Fahamu Magari Ya Kubeba Abiria Yanayojiendesha Yenyewe Marekani – Video

 Teknolojia ya usafiri duniani inaendelea kupiga hatua kubwa, na moja ya mageuzi yanayovutia zaidi kwa sasa ni ujio wa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Madaraja ya Mkwajuni na Kigogo, Dar

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 26, 2026 anafanya ziara katika mkoa wa Dar es Salaam ambapo amekagua maendeleo...

READ MORE

Rais Samia Afunga Kongamano la Muungano La Vijana wa UVCCM Tunguu, Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefunga Kongamano la...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Azungumza na Wananchi Dar

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 26, 2026 anazungumza na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam ambapo amefanya...

READ MORE

Shigongo Atangaza Fursa Mpya kwa Bodaboda na Bajaj Kupitia Wezesha Mzawa – Video

 MBUNGE wa Buchosa na mfanyabiashara, Eric Shigongo amesema kuwa wazo la kuanzisha Wezesha Mzawa Microfinance Ltd lilitokana na dhamira...

READ MORE

Mama Lishe Wapewa Nguvu Mpya Kiuchumi Kupitia Mpango wa Airtel

Airtel Tanzania imerejea ahadi yake ya kuimarisha ujumuishi wa kifedha na uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake, ikilenga zaidi wajasiriamali wadogo...

READ MORE

Aliyefyatua Risasi Kwenye Hafla ya Waandishi wa Habari na Trump ni Mwalimu

Mtu aliyekamatwa kufuatia tukio la ufyatuaji risasi lililotokea Jumamosi wakati wa hafla ya Waandishi wa Habari wa Ikulu (White House...

READ MORE

Trump Afunguka Baada ya Shambulio la Risasi “Uongozi Ni Kazi Hatari”

Rais wa Marekani, Donald Trump, aliondolewa kwa dharura na maafisa wa usalama baada ya milio ya risasi kusikika wakati wa...

READ MORE

Niffer Aweka Wazi Ukweli wa Pete Iliyozua Gumzo Mitandaoni – Video

Msikilize mfanyabiashara maarufu Bongo, Niffer, afafanua kuhusu jambo lililoibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kuonekana akidaiwa kuvalishwa pete ya uchumba,...

READ MORE

Kafulila Aeleza Siri ya Kudumu kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila ameutaja udugu...

READ MORE

Video: Trump Aondolewa Ghafla Baada ya Milio ya Risasi Kusikika Washington

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameondolewa kwa haraka na maafisa wa Secret Service baada ya milio ya risasi kusikika wakati...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 26, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

ACT Wazalendo na CHADEMA Wakutana, Wasisitiza Mshikamano wa Kisiasa

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu, amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndugu John...

READ MORE

Unahitaji Kushinda Kwa Haraka?. Cheza Stock Trade Leo

Ushindi wa haraka na papo kwa hapo upo kwenye Stock Trade kule Meridianbet siku ya leo. Hii ni burudani ambayo...

READ MORE

Video: Saba Wakamatwa kwa Tuhuma za Mauaji ya ‘Mungu Kuniyaa’ Mbarali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa saba kwa tuhuma za kumuua Mungu Kuniyaa Mamboleo (38), mkazi wa Ihanga...

READ MORE

Pete Hegseth: Marekani Haina Haraka Kufikia Makubaliano na Iran

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema kuwa Marekani haina haraka kufikia makubaliano na Iran, huku akisisitiza msimamo mkali wa...

READ MORE

Kwa Nini Kula Karoti ni Muhimu kwa Afya ya Macho

Karoti zinajulikana sana kwa maudhui yake ya juu ya vitamini A, virutubisho muhimu kwa afya ya macho. Vitamini A ni...

READ MORE

Waziri wa Iran Aelekea Pakistan, Russia na Oman Kukuza Ushirikiano wa Kikanda

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametangaza kuanza ziara muhimu ya kidiplomasia katika nchi tatu Pakistan, Russia...

READ MORE

Soma Hatua Muhimu Zaidi Kabla ya Kuagiza Gari nje ya nchi

Kuagiza gari lililotumika kutoka nje ya nchi ni mchakato unaohitaji uangalifu mkubwa ili kuhakikisha unakidhi sheria, kodi, na taratibu za...

READ MORE

Mfahamu Msemaji wa Jeshi la Iran Anayetikisa Mashariki ya Kati – Video

  Katika kipindi cha hivi karibuni cha mvutano wa kisiasa na kijeshi Mashariki ya Kati, jina la Ebrahim Zolfaghari limekuwa...

READ MORE

Askari wa Marekani Ashtakiwa kwa Kubeti Operesheni ya Kumkamata Maduro – Video

MWANAJESHI wa kikosi maalum cha Marekani amekamatwa na kushtakiwa kwa madai ya kutumia taarifa za siri za kijeshi kufanya ubashiri...

READ MORE

Meli ya Touska Yakamatwa Baada ya Kupuuza Maelekezo ya Marekani

Marekani imeendelea kusisitiza kuwa bado iko tayari kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran iwapo makubaliano ya kusitisha mapigano yatavunjika....

READ MORE

Dabi ya Kariakoo Yahamishiwa Uwanja wa Isamuhyo Mei 03, Saa 12:00 Jioni

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetangaza mabadiliko ya uwanja kwa mchezo wa pili wa Dabi ya Kariakoo msimu wa 2025/26...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Mabadiliko ya Viongozi, Amteua Angela Kizigha Kuwa Mshauri Wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na mabadiliko ya viongozi mbalimbali serikalini, ikiwemo kumpangia...

READ MORE

Mgogoro wa Iran Waibua Mpasuko Ndani ya NATO, Hispania na Marekani Zapishana

Mvutano umeibuka ndani ya NATO baada ya taarifa kudai kuwa Marekani inaweza kufikiria kuchukua hatua dhidi ya Hispania kufuatia msimamo...

READ MORE

Video: Mfanyabiashara Akamatwa kwa Kuchimba Mahandaki Sita Bila Kibali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Evance Ndeka Bisesagu (47), mfanyabiashara na mkazi wa Bupumula, Kata ya Nyamhongolo, Wilaya...

READ MORE

Tanzania’s Climate Innovation Expo Unlocks New Paths for Green Growth

Tanzania’s climate innovation ecosystem took a decisive step forward as the Climate Innovation Expo convened innovators, investors, and development partners...

READ MORE

Mahakama ya Afrika Kusini Yaamuru Mwili wa Edgar Lungu Urejeshwe

Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imetoa uamuzi wa dharura ikiitaka Serikali ya Zambia kurejesha mwili wa Rais wa zamani Edgar...

READ MORE

Upendo Nkone Azawadiwa Gari na Mashabiki Wake Jijini Dar – Video

Msanii nyota wa muziki wa injili Upendo Nkone amepokea zawadi ya gari kutoka kwa mashabiki wake, katika hafla maalum iliyofanyika...

READ MORE