Daktari Bingwa Afunguka Mwisho Wema Kukosa Mtoto Apewa Mbinu Mpya
DAKTARI bingwa wa magonjwa ya wanawake nchini, Godfrey Chale amesema msanii Wema Sepetu hana sababu ya kuendelea kulilia mtoto.
“Nimesoma na kusikia kilio cha Wema kutamani kupata mtoto kwa muda mrefu; najiuliza sijui kwa nini hataki…
