The House of Favourite Newspapers

TUNDA KUWA MC SHOO YA BELLA

MUUZA nyago kwenye video za Kibongo, Anna Kimario ‘Tunda’ anatarajiwa kuwa mshereheshaji katika shoo baab’kubwa ya King of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ itakayofanyika Novemba 30, mwaka huu ndani ya Meeda, Sinza jijini Dar.…

Tunda, Bella Kupanda Jukwaa Moja

 MUUZA nyago kwenye video za Kibongo, Tunda Sebastian anatarajiwa kupendezesha usiku wa King of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ utakaofanyika Novemba 30, mwaka huu ndani ya Meeda, Sinza jijini Dar. Katika usiku huo…

Ukata Wamkwamisha Christian Bella

AMA kweli vimekosa grisi! Mkongwe wa Muziki wa Dansi, Christian Bella ‘Obama,’ amesema ukata amemfanya abadili utaratibu wa kufanya shoo zake kwa juma. Amesema Sasa atakuwa anafanya shoo moja badala ya shoo nne hadi tano alizokuwa…

Ukaribu na Bella Umenibeba!

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amefunguka kuwa, ukaribu alionao na staa wa Muziki wa Dansi, Christian Bella ‘Obama’ umembeba kwa kiasi kikubwa. Akistorisha na Over Ze Weekend, Pam D anayebamba na Wimbo wa Ngoma Droo…

Video Queen Kaharibu Nishike Ya Bella

   Video Queen aliyeshiriki video ya  Christian Bella ‘Obama’ iitwayo Nishike. Bella akicheza naye.  Ni  siku nyingine tena tunakutana katika kona yetu hii ya Movie and Video Review (Uchambuzi wa Filamu na Video za Kibongo). Baada ya wiki…

Bella kuipeleka nishike, Moshi

Stori: BMM, Jumamosi BAADA ya kuitambulisha kwa mara ya kwanza ngoma yake ya Nishike ndani ya Mango Garden, King of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuipeleka ngoma hiyo pia kwa mara ya kwanza mkesha wa Sikukuu ya…

Bella kuweka historia Dodoma leo

KING of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ leo anatarajiwa kuweka historia kwa kufanya bonge moja la shoo ndani ya Ukumbi wa Royal Village, Dodoma. Akizungumza na Mtandao wa Global Publishers mratibu wa shoo hiyo, Renatus Gregory…

Bella kufanya sapraizi Dodoma

Mwandishi wetu BAADA ya kufanya bonge la shoo wikiendi iliyopita lililojulikana kama Black Tie ndani ya Dar, King of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kufanya sapraizi katika shoo nyingine kubwa itakayofanyika Julai…

Bella kuonjesha Acha Kabisa Dar Live

Andrew Carlos KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuonjesha ngoma yake mpya aliyomshirikisha mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide leo kwenye ya mkesha wa Mwaka Mpya ndani ya Uwanja wa Taifa wa…