The House of Favourite Newspapers

Ndanda Yamfuatilia Malimi Busungu

WAKATI harakati za usajili zikizidi kupamba moto, Ndanda FC ya mkoani Mtwara ipo katika hatua za mwisho za kumalizana na aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu. Ndanda inataka kumsajili Busungu kwa ajili ya kuiongezea nguvu…

Busungu aleta tafrani, awaondoa watatu Yanga

Wilbert Molandi, Dar es Salaam KUINGIA kwenye kikosi cha kwanza cha Mholanzi, Hans van Der Pluijm, mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu, kumewapa wakati mgumu viungo wa pembeni, Mbrazili, Andrey Coutinho, Geofrey Mwashiuya na Simon…

Busungu aweka rekodi ya kipekee Yanga SC

Malimi Busungu. Wilbert Molandi, Dar es Salaam AKIMCHEZESHA nafasi tano ndani ya uwanja, Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, ametamka kuwa anajivunia kuwa na mchezaji aina ya Malimi Busungu ambaye anaonyesha kiwango…

Busungu ana kadi nyekundu ya Azam

Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam STRAIKA wa Yanga, Donald Ngoma, amedai anamkubali sana Malimi Busungu, lakini mwenzake ameweka wazi kuwa ana uhakika wa kusababisha kadi nyekundu kwa mchezaji wa Azam FC leo kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga na…

Ngoma akicheza na Busungu ni mabao tu

KWA moyo mweupe kabisa, straika wa Yanga, Donald Ngoma, amesema anajisikia furaha kucheza pamoja na Malimi Busungu kwani upambanaji wake unampa nafasi ya kufunga mabao kirahisi. Kauli hiyo ya Ngoma imekuja siku chache baada ya wawili hao…

Pluijm amrejesha Busungu kikosi cha kwanza

Sweetbert Lukonge Dar es Salaam KOCHA Mkuu ya Yanga raia wa Uholanzi, Hans van Der Pluijm, ameamua kumrejesha katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo, mshambuliaji Malimi Busungu aliyekuwa akisugua benchi tangu kuanza kwa Ligi Kuu Bara…

Wahujumu Yanga wakamatwa Manzese

Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas YANGA imewakamata watu wanne waliokuwa wakiihujumu timu hiyo kwa kutengeneza tiketi bandia kisha kuziuza ambazo ni za mchezo wa leo wa timu hiyo dhidi ya Cercle de…

Yanga Jeuri, Simba Kiburi

Wachezaji wa Yanga, Ngoma (kushoto) na Kamusoko (kulia). Waandishi Wetu, Dar es Salaam DAWA ya Jeuri ni Kiburi, Yanga na Simba leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa zinapambana katika mechi ya Ligi Kuu Bara huku nyuma yake kukiwa na vita…

Ajib, Kiiza wafuata nyayo za Ngoma

Hans Mloli, Dar es Salaam SIMBA inaendeleza vipigo katika Ligi Kuu Bara na imani sasa imerejea kwa mashabiki wa klabu hiyo katika mbio za kusaka ubingwa lakini ghafla timu hiyo imejikuta ikiingia kwenye mkumbo mbaya wa kukosa penalti ambao…

Nonga aikosakosa Stand United

Paul Nonga Wilbert Molandi, Dar es Salaam KAMA zari kwa Stand United, kwani yule mbaya wao Paul Nonga aliyesajiliwa na Yanga hatokuwepo katika mchezo wa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Nonga amesajiliwa na Yanga kwa…

Msuva amvuruga Pluijm

Simon Msuva. Sweebert lukonge, Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Dar Pluijm hivi sasa anaumiza kichwa ili kuhakikisha kikosi chake kinafanya vizuri zaidi katika mechi zake zijazo za Ligi Kuu Bara ambayo itaanza tena kutimua…

Msuva ashangazwa na matusi ya Azam

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa Yanga, Simon Msuva, amesikitishwa na kitendo cha wachezaji wa Azam cha kumtolea maneno machafu ya kumdhalilisha katika mchezo wa Ligi Kuu Bara…

Tambwe, Ngoma warudisha mamilioni Yanga

YANGA imesema kiroho safi inaridhika na utendaji kazi wa mastaika wao Donald Ngoma na Amissi Tambwe na kuona kama wamerudisha fedha za usajili walizolipwa hivi karibuni. Ngoma na Tambwe kila mmoja amefunga mabao manne hadi sasa na…

VPL: Mtibwa Vs Yanga, Uwanja wa Jamhuri Morogoro

Kikosi cha timu ya Yanga kinachomenyana na Mtibwa sugar, Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.Kikosi cha timu ya Mtibwa Sugar. Donald Ngoma wa Yanga akichuana na mabeki wa Mtibwa. Malimi Busungu akinyang'anywa mpira na wachezaji wa Mtibwa…

Yanga: Ubingwa Kwetu ni Mubashara

STORI: Said Ally na Khadija Mngwai| CHAMPIONI YANGA inaongoza Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi moja, leo Ijumaa itakuwa uwanjani kukipiga dhidi ya Stand United na jambo pekee ambalo timu hiyo ya Jangwani imesisitiza ni kuwa…

Yanga yamuacha Kessy

Mchezaji wa Yanga, Hassan Kessy. Wilbert Molandi,Dar es Salaam MSAFARA wa wachezaji 21 wa Yanga, asubuhi ya kesho Jumamosi utaondoka kuelekea nchini Ghana kwa ajili ya kukipiga na Medeama ya nchini humo huku wakiwaacha mabeki wao,…

Yanga wabishi

YANGA wamekomaa kibishi jana Jumapili na kufanikiwa kuichapa Coastal Union katika Kombe la FA lakini mechi hiyo ikavunjwa na vurugu. Haikuwa rahisi hata kidogo kupata ushindi huo, mabao ya Yanga yote yalionekana yana utata. Bila kujali…