The House of Favourite Newspapers

Chuchu Hans adaiwa kunasa ujauzito

Chuchu Hans. IMELDA MTEMA STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans anadaiwa kunasa ujauzito wa mchumba wake ambaye naye ni staa wa filamu, Vincent Kigosi ‘Ray’. Kwa mujibu wa chanzo ambacho kipo karibu na wawili hao, Chuchu kwa sasa ni mtu wa…

Chuchu Hans aanika siri ya kumkoleza Ray

NINA imani mu-wazima wa afya wasomaji wetu, kama kawa kwenye kolamu hii tumekuwa tukiwaleta mastaa tofautitofauti na kufunguka mambo mbalimbali yahusuyo maisha yao kwenye sanaa na nje ya fani. Leo tunaye staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans…

Chuchu, Ray Ndo Basi Tena!

MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amesema kuzaa na msanii mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ isiwe tabu na kuanza kumjulisha kila kinachoendelea katika maisha yake na kumtaka mengine ajionee sapraizi. Wasanii hao…

Chuchu, Ray Kimenuka!

DAR ES SALAAM: MSANII wa filamu nchini Chuchu Hans, amezinguana na mzazi mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ huku chanzo kikidaiwa ni usaliti. Inasemekana kuwa, mkongwe huyo kwenye fani ya uigizaji, amemsaliti Chuchu kwa video…

Ray: Chuchu Ana Wivu Sana

STAA kunako Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa mzazi mwenziye Chuchu Hans ni mwanamke mwenye wivu sana. Akizungumza na Mikito Nusunusu, Ray alisema Chuchu ni mwanamke ambaye ana wivu wa kupitiliza. …

CHUCHU: Mimba 6 za Ray ziliharibika

DAR: Mwanamama mwigizaji wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa, kabla hajampata mtoto wake, Jaden Vincent na mwigizaji mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’, mimba sita zilishaharibika.  Katika mahojiano maalum na Gazeti la IJUMAA,…

Chuchu: Hakuna Ndoa Bongo Muvi

MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Chuchu Hans amesema, ndoa za kweli hajaziona kwa mastaa hususan wanaotokea Bongo Muvi na ndiyo maana hana papara ya kuolewa. Akizungumza na Risasi Jumamosi, Chuchu amesema, watu wengi ambao ni mastaa…

Ray: Nazaa tena na Chuchu

MUIGIZAJI kitambo wa filamu Bongo,Vincent Kigosi ‘ Ray’ amefunguka kuwa anataka kuzaa tena na muigizaji mwenzake, Chuchu Hansy mtoto mwingine.  Akipiga stori mbili tatu na Za Motomoto, Ray alisema kuwa ameona hakuna sababu ya kutafuta…

Chuchu Amwachia Ray Mtoto Wao!

MWANAMAMA kunako Bongo Movies anayefanya poa kwenye tamthiliya mbalimbali, Chuchu Hans amesema ameamua kumuachia mzazi mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’, mtoto wao, Jayden ili amlee, halafu yeye aendelee na mishemishe za kuandaa Shindano…

 CHUCHU AACHA FUMBO PENZI LAKE NA RAY

MZAZI mwenziye na muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hans amesema kuwa mpaka sasa watu wengi wako kwenye sintofahamu juu ya penzi lake na mzazi mwenzie huyo kama wameachana au la; na yeye anapenda iwe hivyo.  Akizungumza na Amani,…

TESSY AFUNGUKIA KUPIGWA NA CHUCHU

MZAZI mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka, Tessy Chocolate amefunguka kwamba katika maisha yake hakuna mtu amewahi kumpiga zaidi ya mama yake mzazi, hivyo tetesi zinazosambaa mitandaoni kuwa amepigwa na msanii wa Bongo…

Chuchu: Siwezi Kuzaa Tena na Ray

UKITAJA ‘kapo’ za mastaa ambao wamefanikiwa kuwa kwenye uhusiano na kubarikiwa kupata watoto wakiwa pamoja, huwezi kuacha kuwataja mastaa wakubwa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans. Wawili hawa ni kapo ambayo…

Chuchu Ataja Anachotaka Ray

BAADA ya kumzalia mtoto wa kiume na kuwa gumzo mitandaoni, muigizaji mkongwe wa filamu Bongo, Chuchu Hans amefungukia zawadi aitakayo kutoka kwa mzazi mwenziye ambaye naye ni msanii, Vincent Kigosi ‘Ray’ kuwa ni busu tu. …