The House of Favourite Newspapers

Ole Gunner Afukuzwa Manchester United

HATIMAYE Klabu ya  Manchester United imefikia makubaliano ya kuachana na kocha wake Ole Gunner Solskjaer, hatua hiyo inafuatia matokeo mabaya mfululizo ikiwemo kipigo cha 4-1 kutoka kwa Watford Jumamosi ya Novemba 20.  …

Manchester United Kuuza Nyota Saba

KLABU ya Manchester United imetajwa kuwa ina mpango wa kuuza nyota wake saba ifikapo Januari mwakani. Nyota hao saba wote wanatoka katika kikosi cha kwanza cha Man United sababu za ku­fan­ya hivyo ni kupunguza matumizi ikiwemo mishahara…