The House of Favourite Newspapers

Ben Pol Unamdharau Hadi T.I.D?

BENARD Paul, maarufu kama Ben Pol, ni mmoja kati ya vijana wanaofan­ya vizuri sana katika muziki wa kizazi kipya, upande wa R&B. Eneo hili lina wakali wengi, lakini kama shabiki wa kweli wa muziki atasema atayarishe orodha yake,…

MSIMCHUKULIE POA ARSENE WENGER

LIGI Kuu England ipo raundi ya tatu tangu ianze msimu huu huku Manchester United, iliyo chini ya Jose Mourinho, ikiwa kileleni kwa pointi zake tisa. Mashabiki kote duniani wanaofuatilia michuano hiyo, wameshaanza ubashiri na tayari…

Madaha, Kwa Vee Money Ni Wivu Tu

MUZIKI wa Kizazi Kipya maarufu kama Bongo Fleva umepita katika njia nyingi sana hadi kufika hapa ulipo leo, ambako wanaoufanya wanatengeneza fedha nyingi tofauti na waasisi wake walivyofanya siku za nyuma. Mashabiki, kulingana na…

Lord Eyez, Huna wa Kumlaumu!

NA OJUKU ABRAHAM | RISASI JUMAMOSI | MZEE BUNDUKI SIKU zote maisha ni vile unavyotaka yawe na kila mmoja ana malengo yake. Lakini pia wapo wasio na malengo, wanaishi wakiwa hawajui nini kitatokea kesho na wala hawajisumbui kufikiria…

Roma, Naisubiri Siku Uteme Nyongo!

Na OJUKU ABRAHAM| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES MUZIKI ni sanaa pana inayohitaji zaidi akili iliyotulia ili kuifanya kuwa bora na isiyokufa. Ni wanamuziki wachache wamewahi kumudu kuifanya kazi yao kuwa ya muda wote kwa nyakati…

Makonda in Danger

Na OJUKU ABRAHAM| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI    DAR ES SALAAM: Wakati vita dhidi ya madawa ya kulevya jijini Dar vikipanuka na kugeuka kuwa suala la kitaifa, kuna kila dalili kuwa usalama wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul…

Simba Azam Moyo Sukuma Damu

Na Ojuku Abraham | GAZETI LA IJUMAA KIBAO kipya cha msanii Lameck Ditto anayefahamika zaidi kama Ditto, ambaye yupo katika Jumba la Kukuza Vipaji (THT) kiitwacho Moyo Sukuma Damu, ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Na ameweka wazi kabisa,…