The House of Favourite Newspapers

Sabby Angel Amshauri Harmonize

WIKI chache baada ya Meneja wa WCB, Sallam kusema kuwa staa wa Bongo Fleva, Abdul Khali ‘Harmonize’ ameandika barua ya kutaka kutoka WCB, mkali wa Muziki na Filamu Bongo, amemfungukia msanii huyo kuwa ni mapema sana kujitoa.  …

SABBY ANGEL APIGWA NDOA YA 5

BUYU raha yake uupate ukiwa wa moto kutoka jikoni na siyo ule uliokaa juani ambao haunogi ukiumun’gunya! Ubuyu uliopo mezani wiki hii unaomung’unywa unamgusa mwigizaji ambaye anafanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Omary…

Sabby Angel Adaiwa Kufichwa Kenya

MREMBO ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’, anadaiwa kufichwa nchini Kenya na mwanamuziki anayekimbiza kwenye gemu la Hip Hop nchini humo, Khaligraph Jones ‘Khaligraph’. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha…

Sabby Angel chupuchupu atoe meno

Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ Stori: Imelda Mtema MSANII anayepanda kwa kasi kwenye tasnia ya filamu Bongo,  Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ hivi karibuni alikumbana na kisanga kikali baada ya kudondoka kwenye ‘ tiles’ na kusababisha mguu…

Sabby: Hamisa Pigania Ndoa Sasa

MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amemtaka mwanamitindo Bongo, Hamisa Mobetto kupigania ndoa kwa Mbongo Fleva aliyezaa naye, sababu dini yake inamruhusu kuwa mke wa pili. Akipiga stori na Star Mix, Sabby alisema…

Sabby Ajitosa Kupima ‘Ngoma’

MSANII wa filamu Bongo Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ ameamua kujitosa kupima Ukimwi ‘ngoma’ ili kuwa na amani ya moyo na kusema kuwa wasanii wengi hawapendi kupima kwa kuhofia kona wanazopita huenda hawako salama. Akipiga stori na…

Sabby: Ni Urembo Sarakasi na Muziki

Na ANDREW CARLOS| GAZETI LA IJUMAA| SHOW BIZ HAKUNA kitu kizuri katika sanaa kama kubahatika kuwa na vipaji vingi ambavyo vinaweza kukuingizia chakula cha siku. Wapo wasanii wa Bongo Fleva wenye vipaji vya kuogelea, kucheza filamu,…

Sabby: Ndoa Ilinipotezea Muda

IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend DUH! Kwa mara ya kwanza tangu ndoa yake ivunjike mwaka jana, msanii wa filamu na Bongo Fleva, Sabrina Omary ‘Sabby’ ameweka wazi kuwepo ndani ya ndoa kulimpotezea muda mwingi kwani angekuwa amefika…

Sabby: Siwezi kutoka na Bella

"Sabby Angel" MSANII wa filamu na Muziki wa Bongo Fleva, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefungukia madai ya kutoka kimapenzi na msanii wa Muziki wa Dansi, Christian Bella kuwa hawezi kutoka naye na kwamba kazi za muziki ndizo zinamfanya…

Sabby: Zari hanifikii kwa lolote

Sabby Angel Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: STAA wa sinema za Kibongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ ameibuka na kusema kuwa anawashangaa wanaodai kuwa, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ni mwanamke mrembo wakimlinganisha na…

Sabby: Kiba Alitaka Kuniua kwa Mahaba

Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ Na Imelda Mtema MSANII anayefanya muziki na filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kwa kinywa chake kuwa penzi la mwanamuziki mkali wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘Alikiba’ lilitaka kutoa uhai…

Sabby: Mapenzi Kwangu No

Na IMELDA MTEMA  MSANII wa Bongo movies Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amesema katika kipindi hiki cha kasi ya Rais John Magufuli, hana muda wa kuhangaika na mapenzi, badala yake yeye atachapa kazi tu. Akizu ngumza na gazeti hili, msanii…

Sabby: Napiga goti nipate mume

Msanii wa Bongo Movies, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’. Na Imelda Mtema MAOMBI! Msanii wa Bongo Movies, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ ameliambia gazeti hili kuwa anapiga magoti akimuomba Mungu ampatie mume bora na siyo gumegume wa kumsumbua…

HAWA WANAPIGA KOTEKOTE !

MUZIKI wa Bongo Fleva kwa sasa upo kwenye ubora wake na hilo halina ubishi. Kumekuwa na ushindani mkubwa kwa wasanii wa kike na wa kiume ambapo mara kwa mara wamekuwa wakitoa ngoma na video kali.  Lakini haohao wasanii mbali na kufanya…

NDOA YA KIBA YAACHA VILIO!

DAR ES SALAAM: Wakati mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ akitarajiwa kuangusha bonge la sherehe baada ya kufunga ndoa nchini Kenya, ndoa hiyo imedaiwa kuacha vilio vikali kwa wanawake ambao waliwahi kushea kitanda na msanii…

Jokate: Nimemchoka Kiba!

Mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. STORI: Waandishi Wetu Yamekuwa yakitokea mambo mengi kwenye uhusiano wa mastaa wawili Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Salehe Kiba ‘Ali Kiba’, mara wamwagane, mara wazichape lakini safari hii…