Mahakama ya juu ya Afrika Kusini yaamua Zuma hawezi kuwania ubunge
Mahakama ya juu ya Afrika Kusini imesema rais wa zamani Jacob Zuma anayekabiliwa na kashfa ya ufisadi hastahili kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa Mei 29.
Zuma aliondoka madarakani mwaka 2018, akiandamwa na tuhuma za ufisadi,…