Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Jijini Dar Es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Machi 24, 2024 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam.