×

Amani

Gigy Money Adaiwa Kunasa Kibendi

MUUZA ‘nyago’ na msanii wa filamu Bongo, Gifty Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kubeba ujauzito wa mwandani wake Moulad Alpha ‘Moj’ ambaye ni mtangazaji wa kituo…

SOMA ZAIDI

Alikiba, Mchumba’ke Kimenuka

DAR ES SALAAM: MKALI anayetamba na wimbo wa Seduce Me, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ amedaiwa kuingia kwenye mgogoro na mpenzi wake anayefahamika kwa jina la…

SOMA ZAIDI

Kajala Adaiwa Nyakunyaku, Afunguka!

KUFUATIA uwepo wa tuhuma kwamba anaongoza kwa kukwapua mabwana wa watu, muigizaji kiwango, Kajala Masanja ameibuka na kukanusha vikali madai hayo na kusema anayachukia. Akizungumza…

SOMA ZAIDI


Chuzi Akwaa Balaa Jingine!

IKIWA bado lile sakata lake na Chama cha Waigizaji kupelekana mahakamani halijapoa, msanii nguli wa tamthiliya Bongo, Tuesday Kihangala ‘Mr. Chuzi’ amezua balaa jipya ambapo…

SOMA ZAIDI


Kiba Aweka Rekodi Ya Mamilioni

DAR ES SALAAM: WAKATI ukiwa na takriban siku 21 tangu kuachiwa sokoni, Wimbo wa Seduce Me wa mkali Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ unadaiwa kuweka…

SOMA ZAIDI
Farhia Middle Hoi Kwa Aslay!

MTANGAZAJI ‘bei mbaya’ wa Vituo vya ITV/ Radio One, Farhia Hussein Middle amesema kuwa, miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva anaowazimikia ni pamoja na Aslay…

SOMA ZAIDI

CHID BENZ: ISHU YA MADAWA NI KIKI?

MWANZONI mwa mwezi Julai, mwanamuziki mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya Muziki wa Hip Hop, Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ alifanya ‘media tour’ kuutambulisha wimbo…

SOMA ZAIDI