The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

msanii

Msanii Bongo Movie Azua Simanzi

HAYA ni zaidi ya mateso! Ukisema wewe unaumwa, lakini unapata usingizi, kumbe hujawaona wagonjwa wenyewe! Hawa Ibrahim almaarufu Carina kwa jina la uigizaji kwenye tasnia ya Bongo Muvi na video vixen (muuza sura) wa nyimbo za wanamuziki…

Harmo kuiteka Dar

RAJABU Abdul ‘Harmonize’ au Harmo ana jambo lake Dar, taarifa zinasema kwamba siku hiyo mkali huyo wa Bongo Fleva, ataliteka jiji zima la Dar na watu wote watakuwa pale Mlimani City kumshuhudia.  Meneja wa Harmonize, Beauty Mmary…

Harmo asakwa kwa deni la mamilioni

DAR: Mambo si mambo kwa mkali wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’, inadaiwa kuwa kuna jamaa wanamsaka kwa deni la mamilioni ya fedha huko Mombasa nchini Kenya, IJUMAA linakupa mchapo kamili. ALIKWENDA KUFANYA SHOO…

CHUCHU: Mimba 6 za Ray ziliharibika

DAR: Mwanamama mwigizaji wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa, kabla hajampata mtoto wake, Jaden Vincent na mwigizaji mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’, mimba sita zilishaharibika.  Katika mahojiano maalum na Gazeti la IJUMAA,…

Maskini wema !

KILA kukicha hali ya staa wa Bongo Muvi inazidi kubadilika kutokana na kuzidi kukondeana jambo ambalo linazidi kuwashtua wengi na kubaki wakisema kwa kumuhurumia; maskini Wema. Picha ya Wema akiwa na wenzake ilisambaa kwenye kurasa…

Kufuru ya Pesa… Mondi Hakamatiki

KAMA ulikuwa unawaza kuna mtu kwenye tasnia ya Bongo Fleva wa kushindana naye mpaka sasa, unajiongopea! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hakamatiki kwa kufuru ya pesa, anazitengeneza za kutosha, IJUMAA WIKIENDA…

Aunt Hataki Tena Kuisikia Ndoa!

WAKATI ikiaminika wanawake wengi huitamani ndoa kwa gharama yoyote, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel yeye hataki kusikia tena mambo ya ndoa, anasaka fedha na mpenzi wake wa sasa.  Akizungumza na Amani, Aunt alisema suala la…

Lulu Diva ana nguo hadi anasahau

MWANAMUZIKI Lulu Abbas ‘Lulu Dava’ ameibuka na kusema kuwa linapokuja suala la kuvaa kwake hana mchezo kwani ana chumba kizima kwa ajili ya nguo na viatu tu ambapo inafikia wakati hata hakumbuki amerudia nguo lini.  Akizungumza na…

CASTO AWASHUKIA TUNDA, WHOZU!

MTANGAZAJI wa Clouds TV, Casto Dickson ameibuka na kuwavaa aliyekuwa mpenzi wake; Tunda na jamaa wake wa sasa Whozu kuwa waache kumtajataja katika maisha yao mapya waliyoyaanzisha.  Kwenye ukurasa wake, Casto aliwasema Whozu na Tunda…

KIDOA AELEZA SABABU UCHUMBA KUVUNJIKA

MSANII wa filamu na video queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ ameibuka na kueleza sababu za uchumba wake kuvunjika. Kidoa alifikia hatua ya kufungukia hilo kutokana na habari kuzagaa kwamba uchumba wake umevunjika ambapo alisema ni…

KIBIBI APIGA CHINI WASIOJIONGEZA

Mwigizaji anayefanya poa kunako Tamthiliya ya Huba, getrude Richard almaarufu kibibi amesema unapoona una rafiki asiyejiongeza, dawa ni kumpiga chini. Kibibi aliliambia Gazeti la Ijumaa kuwa, maisha ya sasa yamebadilika mno hivyo ni…

Q CHILLA ‘AOTA’ KURUDIA ENZI

MWANAMUZIKI wa Kizazi Kipya, Abubakary Katwila ‘Q-Chillah’ amejitapa kurudi katika gemu la muziki kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 alipokuwa akitamba na ngoma mbalimbali ikiwemo Si Ulinikataa ambayo ilidaiwa kuwa ni historia…

DAVINA: SITAKI KUTUMIKA TENA

Muigizaji mkongwe Bongo Muvi, Halima Yahaya 'Davina' amefunguka kuwa hapendi tena kutumika kwa wanaume ambao hawana msimamo katika maisha yake dhidi ya kujizeesha.  Akizungumza na Za Motomoto, Davina alisema huko nyuma mtu…

NDOA YA LULU SINTOFAHAMU

DAR ES SALAAM: Moja ya ndoa za mastaa Bongo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa ni ya msanii wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ lakini sasa hali ya sintofahamu imegubika, Amani limebaini.  Sintofahamu hiyo inakuja…

MENINAH AGEUKIA U-MC

SIKU chache baada ya kutangaza kugeukia kwenye uigizaji, msanii wa Bongo Fleva, Meninah Atik ameamua kugeukia pia kwenye ushereheshaji wa maharusi ‘MC’ na kuwaambia wasanii wenzake kuwa wasipokubali kubadilika siku zote lazima watabaki…

DK CHENI AKIRI KUIPA KISOGO SANAA

MKONGWE kwenye sanaa ya filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk Cheni’ amefunguka kuwa, kwa sasa ameamua kuiweka pembeni sanaa na kujikita zaidi kwenye shughuli zake za U-mc.  Dk Cheni amesema, kutokana na hali ya soko la sanaa…

FAIZA AMEMRUDIA MUNGU MAZIMA

NDICHO kilichobaki tu! Mwigizaji wa filamu za Kibongo ambaye ni baby mama wa Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu, Faiza Ally ameamua kuacha kila kitu na kufanya yale ya kumpendeza Mwenyezi Mungu. Faiza ameliambia…

ROSE NDAUKA, CASSO WAMWAGANA

MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na mwanamuziki wa Kizazi Kipya aliyekuwa akimsimamia kazi zake Said Kassim a.k.a Casso wamemwagana rasmi baada ya kutofautiana kimaslahi.  Akizungumza na Za Motomoto, Casso…

NELLY ANATAKA KUZAA LAKINI…

WANAUME mpo? Mwanamitindo maarufu Bongo, Nelly Kamwelu amefunguka kuwa anataka sana kuwa na mtoto kwa kipindi hiki, lakini amejifunza kuwa mtoto bila malezi ya baba ni tatizo.  Nelly aliliambia Gazeti la Ijumaa alipendalo…

LULU: TUJIFUNZE KUJIKUBALI

MWIGIZAJI mwenye nyota ya kipekee Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa hakuna kitu kizuri kama mwanamke kujiamini maana hiyo ndiyo silaha yake kubwa.  Akizungumza na Amani, Lulu alisema wanawake wengi wanakuwa…

WEMA WA SASA ANAFELI WAPI?

KWA takriban miaka kumi tangu mrembo wa Taifa, Wema Sepetu atwae Taji la Miss Tanzania hakuwahi kuchuja. Kama ni moto ulikuwa unawaka kila uchwao. Tangu mwaka 2006 grafu ya Wema ilikuwa inapanda tu. Nyota ya mrembo huyu…

MWANA ATOBOA SIRI YA MUMEWE

MUIGIZAJI mahiri wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed ametoboa siri ya mumewe kuwa ambacho kinamfanya ampende zaidi ni kwa sababu habanwi hata kidogo kwenye kufanya mambo yake ya kumuongezea kipato tofauti na wanaume wengine.  …