The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Category

Breaking News

Breaking: Prof Ngowi Afariki Dunia

Makamu Mkuu wa Chuo Cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Profesa Honest Ngowi na dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo Jumatatu, Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari. Taarifa za awali zinasema kuwa, ajali…

Mbowe na Wenzake Wakutwa Na Kesi Ya Kujibu

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu imemkuta na kesi ya kujibu, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu katika mashitaka 5 kati ya 6 hivyo wanapaswa kuanza kujitetea. Uamuzi huo…

Rais Samia Akutana na Tundu Lissu -Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu. Mazungumzo hayo yamefanyika baada ya Rais Samia kukubali maombi ya kiongozi huyo wa…