The House of Favourite Newspapers

Kumbee! Esha Buheti Hamjui Baba Yake!

STAA mtata katika kinu cha ‘kutwangia’ filamu Bongo, Esha Salim Buheti ‘smart’ ametoa ya moyoni kuhusu maumivu aliyonayo juu ya kutowahi kumuona baba yake mzazi na kwamba katika kipindi chote cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani,…

Kiapo chamtesa Esha Buhet

Kiapo cha kutochora tena michoro (tattoo) katika mwili wake, alichokitoa msanii wa filamu Bongo, Esha Buhet, kinamtesa baada ya kukikiuka kwa kujichora mkubwa zaidi ya hapo awali. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati, Esha alisema…

Tatuu Zamuumbua Esha Buheti

LICHA ya kula kiapo kuwa hatokuja kujichora tatuu ya aina yoyote mwilini mwake miezi kadhaa iliyopita, staa wa filamu Bongo, Esha Buheti hivi karibuni ameumbuka baada ya kunaswa akiwa na tatuu kibao mwilini mwake. Tukio hilo lilitokea…

Esha Buheti ageukia pombe

IMELDA MTEMA, Amani MKALI wa filamu za Kibongo, Esha Buheti ameweka wazi kwamba hivi sasa ameamua kugeukia pombe kutokana na msongo wa mawazo alionao. Esha aliliambia Amani kuwa, awali alikuwa hapendi kuju-muika na watu wanaokunywa…

Shilole, Esha Kimeumana

MSANII wa muziki wa Bongo Flava na mmiliki wa mgahawa wa Shishi Food, Shilole amedai kwamba hawezi kujibizana na mtu mitandaoni kiholela holela tu maana yeye ni brand kubwa kwa sasa. Shilole ametoa kauli hiyo kufuatia…

ESHA: JOKATE USINICHUKIE KISA KIBA

ESHA Buheti amefunguka kuwa kama mwanamitindo maarufu Jokate Mwegelo, anamchukia kisa mwanamuziki Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ kuoa, atakuwa anamkosea sana. Akipiga stori na Over Ze Weekend, Esha ambaye amefanya poa kwenye filamu ya Jini…

Esha Sasa Kuzaa Dabodabo

MSANII anayefanya vizuri katika anga la filamu Tanzania, Esha Buhet, baada ya kujaaliwa kupata mtoto wa pili aliyemsubiri kwa miaka mingi, sasa atazaa dabodabo kwani anaamini Mwenyezi Mungu amemfungulia njia. Akizung-umza na Risasi…

ESHA KUMWANIKA MWANAYE LEO

MSANII wa filamu za Kibongo, Esha Buheti leo anatarajia kumwanika mwanaye kwa ndugu na marafiki ambapo atamfanyia sherehe ya nguvu. Akistorisha na Risasi Jumamosi, Esha ameamua kufanya sherehe hiyo pamoja na kumshukuru Mungu kwa…

Esha: Mwanangu siyo haramu

Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Esha Buheti amewacharukia wanaodai mwanaye Clarisa ni haramu, akisema kuwa wanamkosea kwani hakumzaa nje ya ndoa bali alifunga ndoa ndipo akampata. Akizungumza…

Esha atoa sababu za ubonge

Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Esha Buheti amedai kuwa ubonge alionao kwa sasa ni kwa sababu ya mapochopocho anayojipikia muda mwingi anapokuwa nyumbani na si kweli kwamba ni mjamzito kama watu…

TECNO Yawakumbuka Watoto Yatima

Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza  wa masomo, kampuni ya simu za mkononi  ya TECNO, imetoa  msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo Chanika Jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha…