The House of Favourite Newspapers

Malaika Anaswa Na Camera Kanisani

Pastor Ekuma Uche Philips wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo amedai yakua malaika amenaswa na camera za kanisani kama ambavyo anathibitisha. ''Malaika amenaswa kwenye Camera katika Ibada ya usiku, Ijumaa tarehe 31…

Malaika: Sina Wivu na Zuchu

MWANA-MUZIKIkutoka Bongo Flevani aliyetamba na ngoma kama Zogo, Sare na nyingine, Diana Exavery ‘Malaika’ amesema hana wivu wala kinyongo kwa wanamuziki wenziye wa kike wanaotamba kwa sasa kama Zuchu.Amesema kila mtu ana kipaji chake na…

 Malaika aelezea ukimya wake

BAADA ya kuwa kimya kwa muda mrefu, mwanamuziki wa Kizazi Kipya, Diana Exavery ‘Malaika’ ameeleza ukimya wake umesababishwa na kujipanga lakini pia kukwepa ‘vita’ na binadamu.  Malaika aliiambia Risasi Vibes kuwa, ameamua kukaa na…

Malaika Akiri Kufeli katika Hili

MWIMBAJI anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’, amefunguka kuwa, udhaifu wake mkubwa kwenye maisha ni kusimama mbele za watu na kujielezea yeye ni nani. Akipiga stori na Showbiz-Xtra, Malaika alisema,…

Malaika Aingizwa Mjini Marekani

MWANADADA anayefanya vizuri katika Bongo Fleva, Malaika Exavery ameeleza jinsi alivyotoswa huko Marekani, baada ya kuahidiwa kusimamiwa kazi zake, lakini asubuhi yake alipowafuata wahusika ili kuweka mambo sawa, wakamtosa. …

Malaika Amfungukia Pam D

MKALI wa ngoma za Saresare pamoja na Zogo, Diana Exavery ‘Malaika’ amefunguka kuwa  mashabiki wa muziki wamekuwa wakimfananisha staili yake ya uimbaji na mwanamuziki mwenzake Pamela Daffa ‘Pam D’ kutokana na wote kufanya kazi…

Wamarekani Wambadilisha Jina Malaika

Na ANDREW CARLOS| IJUMAA WIKIENDA| HABARI MKALI wa Ngoma ya Rarua, Diana Exavery ‘Malaika’ ameamua kulikubali rasmi jina la Sinyora baada ya raia wa Tanzania waishio Marekani pamoja na baadhi ya Wamarekani kumbadilisha jina.…

Malaika, jamaa’ke hapatoshi

Stori: Leonard Msigwa, Jumamosi MREMBO anayesumbua na Wimbo wa Rarua Rarua, Diana Exavery ‘Malaika’ na mpenzi wake aitwaye Eddy wapo kwenye bifu zito baada ya mrembo huyo kudaiwa kutaka apewe gari na mpenzi wake huyo baada ya kumwagana.…

Malaika afurahia kuwa singo

MSANII anayefanya vizuri katika Bongo Fleva, Malaika Exavery amedai anafurahia maisha ya kutokuwa na mpenzi, kwani anakuwa huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa na mtu. Akizungumza na Risasi Vibes, Malaika alisema baada ya kutemana na…

Malaika: Sifikirii kabisa kuolewa

Stori: BONIPHACE NGUMIJE MSANII wa Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’ amesema kuwa  kwa sasa miongoni mwa mambo ambayo hayafikiria kabisa ni kitu kinachoitwa mapenzi haswa ndoa na badala yake ameweka akili yake yote kwenye kazi yake ya…

Mnorway kumng’arisha Malaika

Carl Hovind PRODYUZA aliyetengeneza Ngoma ya My Life ya Dogo Janja, Carl Hovind anatarajia kutua Bongo kumng’arisha staa wa Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’ kwa kumtengenezea ngoma mbili. Diana Exavery ‘Malaika’ Akichonga na Showbiz…

Malaika Yamkuta Mazito

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Malaika Exavery STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Malaika Exavery hivi karibuni yalimkuta makubwa baada ya gari lake (Toyota Harrier Lexus) kunasa kwenye tope maeneo ya Kigamboni, Dar na kushindwa kutoka kwa…

malaika anaswa akizurura na mdoli

Malaika Stori: Andrew Carlos Binti anayefanya poa kwenye gemu la muziki kwa sasa, Malaika hana mtoto lakini inavyoonekana anatamani sana kupakata mtoto baada ya hivi karibuni kunaswa akizurura na mdoli mtaani. Ilikuwa mitaa ya Msasani…

Malaika afungukia kuacha muziki

Diana Exavery ‘Malaika’ Stori: ANDREW CARLOS STAA wa Ngoma ya Zogo, Diana Exavery ‘Malaika’ kwa mara ya kwanza amefungukia ishu inayosambaa kuwa ameachana na muziki kuwa taarifa hizo hazina ukweli na kwamba matatizo aliyonayo ndiyo…