The House of Favourite Newspapers

Diwani Mkuranga Awaliza Wananchi Wake Kwa Furaha

PWANI: 2 Machi 2023, Diwani wa Kata ya Mkuranga mkoani Pwani, kupitia Chama cha Mapinduzi, Shabani Manga, jana (Jumatano) alizindua zahanati katika Kijiji cha Tegelea ambapo uzinduzi huo ulihudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi wa…

SHINDA NYUMBA YAACHA GUMZO MKURANGA

Kuelekea droo kubwa ya Bahati Nasibu la Shinda Nyumba Awamu ya Pili kutoka Kampuni ya Global Publishers, wachapichashaji wa magazeti ya Champion, Uwazi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Amani, na Uwazi, promosheni ya shindano hilo…

Mbunge Mkuranga Azindua Ulega Cup

Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega (kulia) akijiandaa kuupiga mpira ili kuzindua mashindano hayo.Ulega (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kizomla kabla ya mchezo kuanza.Mbunge huyo (katikati kulia)akiwa…