The House of Favourite Newspapers

Prof. Jay Ashindwa Ubunge

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay,  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameshindwa kutetea Jimbo la Mikumi, ambalo alikuwa mbunge kwa kipindi cha miaka mitano. Amepata kura…

Mke wa Prof Jay: Tumeruhusu Asaidiwe

IKIWA ni wiki tatu sasa tangu rapa maarufu na nguli wa Bongo, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ alazwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akipatiwa matibabu kutokana na maradhiu yanayomsumbua, familia yake imesema imeruhusu asaidie na…

PROF JAY AMPA HESHIMA MONDI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Professor J’ ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, juzikati alivutiwa na ngoma mpya ya Diamond Platnumz inayoitwa Inama aliyomshirikisha mwanamuziki Fally Ipupa.…

Jay: Niiteni Mtumishi, si Mheshimiwa

Joseph Haule ‘Profesa Jay’. Mwandishi wetu Mbunge mpya wa Mikumi (Chadema) ambaye ni msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ amewaambia wapiga kura wake kumuita Mtumishi badala ya Mheshimiwa, kwa sababu kazi yake ni…