The House of Favourite Newspapers

Ndoa Mpya Ya Stamina Yanukia

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Bonivanture Kabongo ‘Stamina’ ameeleza kuwa baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika, kwa sasa yupo mbioni kuingia kwenye ndoa nyingine kwa kuwa yeye ni mwanaume aliyekamilika. Stamina ambaye ana ngoma…

NUH Afungukia Kubebwa na Shilole

MWANAMUZIKI Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ambaye aliwahi kufanya vizuri sana kupitia wimbo wake wa Jike Shupa aliomshirikisha mkali Ally Saleh Kiba ‘AliKiba’ ameeleza sababu ya kupotea kwenye muziki kwa takriban miaka miwili. …

SHETTA AMWAGANA NA MKEWE

STAA wa Bongo Fleva, Nurdini Bilal ‘Shetta’, amefunguka kuachana na mkewe ambaye wamezaa mtoto mmoja wa kike na kusema kuwa kila mtu ameamua kuendelea na maisha yake. Akipiga stori na Showbiz Xtra, Shetta alisema kuwa maisha ya sasa…

BABA AMPA OMBI MAALUM DIAMOND

Baba wa Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa ametoa ombi kwa mtoto wake baada ya kutangaza rasmi kuwa anatarajia kuoa mwakani kwamba amualike kwenye harusi yake kama njia moja ya kuonesha heshima kwake.…

MAUA SAMA AKANA KUTUMIA NDUMBA

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amekanusha madai ya kutumia uchawi ‘ndumba’ kwenye wimbo wake wa Iokote na kusema kuwa ni Mungu tu ndiyo aliyomuongoza. Akipiga stori na Showbiz Xtra, Maua alisema anachoamini siku zote kwenye…

MIMI MARS AMFUNGUKIA RAMMY

BAADA ya mkali wa filamu Bongo, Rammy Gallis kuibuka na kusema kuwa anatamani kuonana naye ikiwezekana kuanzisha naye uhusiano, msanii wa Bongo Fleva, Mimi Mars amefungukia msanii huyo kuwa hamjui vizuri na aliwahi kumuona mara moja tu…

AIKA AFUNGUKA UNDANI WAO NA SALLAM

BAADA ya kusemwa kila kona kuwa wamehamia Wasafi Classic Baby (WCB), msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Aika Marealle ‘Aika’ ameanika undani kuwa hayupo WCB bali yupo chini ya meneja Sallam Shariff ‘Sallam SK’ ambaye anawasimamia…

KIVAZI CHA CALISAH CHAACHA GUMZO

Kivazi alichokivaa mwana-mitindo anayetamba Bongo, Calisah Abdulhamiid kwenye mashindano ya kumsaka Miss Tanzania 2018 yaliyofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar kimeacha gumzo huku wengi wakisema…

NUH MZIWANDA APOTEZWA NA LAANA

MWANAMUZIKI Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, ni mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye mbali na kazi nzuri anazofanya aliingia kwenye masikio, macho na midomo ya watu baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanadada Zuwena Mohamed…

SIRI YA ROSA REE KUTOBOA NI HII

MWANAMUZIKI Rosary Robert, ambaye anafanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva na Afrika kwa sasa na Wimbo wa Way Up aliomshirikisha Emtee wa Afrika Kusini, amefunguka kuwa bila kujiamini na kusimamia kile anachokiamini…