Mo Dewji Ang’ara Orodha ya Mabilionea 20 wa Afrika, Dangote Aongoza
Jarida la Forbes limetoa orodha ya mabilionea 20 wa Afrika kwa mwaka 2024 ambapo Mtanzania pekee aliyepo kwenye orodha hiyo, Mohamed Dewji aking’ara kwa utajiri wake kuongezeka kutoka Dola za Kimarekani bilioni 1.5 hadi Dola za Kimarekani…