The House of Favourite Newspapers

Meninah Matatani Kifo Cha Mumewe

MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Menina Attick ‘Meninah’, ameingia kwenye mkasa na utata mzito baada ya kifo cha mumewe aliyetajwa kwa jina moja la Yona au Musa. Kwa mujibu wa ndugu wa Musa, kijana wao alifariki dunia siku chache…

Meninah Maisha Yanaendelea!

MSANII wa Bongo Fleva na mwigizaji Menina Attick ‘Meninah’, amesema hata kama ataamua kujifungia ndani, lakini ukweli unabaki palepale kuwa, lazima maisha yaendelee. Meninah ameliambia Gazeti la Ijumaa Wikienda kuwa, kwenye…

Menina Asimulia Video Yake Chafu

MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva nchini, Menina Abdulkarim ‘Meninah’ hatimaye jana alijisalimisha kwenye Ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa ajili ya kutoa maelezo ya video na picha zake za utupu zilizozagaa kwenye mitandao…

Meninah Aibu Yake

NI aibu yake! Ndiyo maneno yaliyowatoka wengi baada ya kuona video chafu inayodaiwa ni ya msanii wa Bongo Fleva na U-MC Bongo, Menina Attick ‘Meninah’ kuvuja mitandaoni. Baada ya video hiyo inayomuonesha Meninah akifanya mambo ya…

Meninah Aibu Yake!

NI aibu yake! Ndiyo maneno yaliyowatoka wengi baada ya kuona video chafu inayodaiwa ni ya msanii wa Bongo Fleva na U-MC Bongo, Menina Attick ‘Meninah’ kuvuja mitandaoni. Baada ya video hiyo inayomuonesha Meninah akifanya mambo…

MENINAH AGEUKIA U-MC

SIKU chache baada ya kutangaza kugeukia kwenye uigizaji, msanii wa Bongo Fleva, Meninah Atik ameamua kugeukia pia kwenye ushereheshaji wa maharusi ‘MC’ na kuwaambia wasanii wenzake kuwa wasipokubali kubadilika siku zote lazima watabaki…

MENINA AGEUKIA KWENYE FILAMU

BAADA ya kimya kirefu kwenye anga la muziki Bongo, mwanamuziki aliyeibukia kwenye Shindano la Bongo Star Search (BSS 2012), Meninah Atik amesema ili kukuza kipaji chake cha sanaa ameamua kugeukia kwenye filamu.  Akipiga stori…

MENINAH: KULEA KUMENIPOTEZA

I AM back! Msanii wa kike wa Bongo Fleva ambaye ni zao la BSS 2012, Meninah Atik amesema alikuwa kimya kwa muda mrefu kutokana na kulea ambapo kwa sasa mwanaye ana umri wa mwaka mmoja hivyo anarudi kwenye gemu.  Akizungumza na Over Ze…

Menina Ajifungua Kidume

MSANII wa Bongo Fleva aliyewahi kushiriki shindano la kusaka vipaji maarufu la Bongo Star Search (BSS), Menina, amejifungua mtoto wa kiume Februari 9 wiki iliyopita na jina la mtoto huyo bado halijafahamika. Aidha Menina…

Meninah Apigwa ndoa ya pili!

Menina ndoa ya pili. ANDREW CARLOS BAADA ya kuachana na mumewe wa kwanza aliyejulikana kwa jina la Abdulkharim Haule, ishu nyingine imeibuka kuwa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ amepigwa ndoa ya pili.…

Basata Nayo ni Mzigo?

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), kwa kushirikiana na mamlaka nyingine lilifanikisha prodyuza mkali Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk Majani’ kupata kitita cha zaidi ya shilingi milioni mia moja ikiwa ni fidia kutoka kwa msanii wa Uganda, Jose…

Mwijaku Aibukia kwa Mkewe

ACHANA na maneno ya picha chafu za Meninah, msanii Burton Mwamba ‘Mwijaku’ ameibuka na kumfagilia mke wake kuwa ana akili sana na ni muelewa. Mwijaku aliiambia Za Motomoto ya Risasi kuwa, hataki kuzungumza chochote bali…