The House of Favourite Newspapers
Monthly Archives

February 2017

Wabunge Wamlipua Steve Nyerere

DAR ES SALAAM: Kusambaa kwa sauti iliyorekodiwa mazungumzo ya mwigizaji Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ na mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu halijafutika, mengine yamefumka kwani baadhi ya wabunge waliotajwa kwenye…

Shilole Atamba kwa Shoo za Nje

Na BONIPHACE NGUMIJE| GAZETI LA UWAZI| SHOWBIZ MWANADADA asiyekauka kwenye media ambaye ni Mwanamuziki na Muigizaji Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa yeye ndiye msanii wa kike Bongo anayeongoza kwa shoo za nje.…

Davina Afungukia Kuidai CCM

Na BONIPHACE NGUMIJE| GAZETI LA UWAZI| SHOWBIZ  MWANADADA anayefanya vyema kwenye tasnia ya filamu  nchini, Halima Yahaya ‘Davina’ hivi karibuni amefunguka kuwa kwa upande wake hakidai hata senti tano Chama Cha Mapinduzi (CCM), maana…

Shoga: Raha ya Mchezo Kushangilia

Na SOPHIA MA`MDOGO| GAZETI LA UWAZI| LOVE & LIFE Kuna watu wakimaliza kila mmoja atachukua vyombo vyake wakati mlipoanza mmoja ndio aliandaa. Shoga mzee akimaliza kula chakula nawe sema asante chukua vyombo vyako...  HAYA sasa…

Mr Shinda Nyumba Ajimwaga Mitaa ya Keko

ILE bahati nasibu ya Shinda Nyumba inayoendelea kwa sasa chini ya Kampuni la Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Championi, Ijumaa, Amani na Risasi inazidi kusonga mbele ambapo watu mbalimbali wanaendelea kujitokeza na…

Hadithi ya Shigongo: Dimbwi la Damu-13

Shabir alimpiga Victoria kwa  
mateke na ngumi bila 
huruma, akilalamika kitendo cha  Victoria kuitoa mimba ya mtoto wake! Victoria alilia akiomba msaada lakini hakuna mtu aliyejitokeza kumsaidia. Baadaye alimvuta kwenda bafuni ambako…

Wafanyakazi wa Manji Bado Ngoma Nzito

RAIA  wawili wa India ambao wanafanya kazi wa kampuni ya Quality Group iliyo chini ya Yusuf Manji leo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kujibu mashtaka matatu likiwemo la kufanya kazi nchini bila ya kuwa na kibali.…

Odemba Aangua Kilio Dar

IMELDA MTEMA| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Mwanamitindo wa kimataifa ambaye ni mwakilishi wa Tanzania katika Shindano la Miss Earth 2008, Miriam Odemba amejikuta akiangua kilio baada ya kupoteza pasi yake ya kusafiria…

Magonjwa ya Zinaa Yanayowapata Vijana

KUNA magonjwa mengi ambayo watu hukumbana nayo lakini leo tutajadili magonjwa ya zinaa ambayo huwapa zaidi vijana japokuwa kuna wazee hukumbana nayo. Magonjwa haya huathiri sehemu za siri na huweza kusababisha muathirika kutopata mtoto…

Tanayzer: Sitamsahau Abdul Bonge

Na MUSA MATEJA| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND MSANII wa Bongo Fleva ambaye ni zao kutoka Kundi la Tip Top Connection, Said Othman ‘Tanayzer’ ameweka wazi kuwa haitatokea hata siku moja kumsahau muasisi wa kundi hilo, Abdul Bonge…

Lulu Diva Amfungukia Barnaba

Na ANDREW CARLOS| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu msanii wa Bongo Fleva, Barnabas Elius kudaiwa kutengana na mzazi mwenziye, msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amemfungukia kuwa, ishu…