The House of Favourite Newspapers

WOLPER AMFUNGUKIA JACQUELINE MENGI

KWA mara ya kwanza staa wa filamu kutoka Bongo Movie, Jacqueline Wolper, amemfungukia mjasiriamali ambaye pia ni Miss Tanzania mwaka 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ‘K Lynn’, kuwa anampenda na mara nyingi amekuwa akizifuata nyayo…

Wolper: Mume Wangu Sio Chawa

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper anasema kuwa, kitendo cha yeye na mumewe, Rich Mitindo kusapoti biashara za watu wengine siyo kwamba wao ni chawa. Anasema kuwa, umekuwa ni utamaduni wake hata kama mtu amemkosea, basi…

Wolper: Tunaongeza Mtoto Mwingine Soon

Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe ameweka wazi kuwa, wanasubiri kidogo mtoto wao akue, wapange tena na mchumba wake, Rich Mitindo kuongeza tena mtoto mwingine soon maana tangu mtoto wao huyo azaliwe, amezidisha furaha na…

Aunt, Wolper Wamaliza Bifu

LILE bifu lililokuwa bab’kubwa kati ya waigizaji Aunt Ezekiel na Jacqueline Wolper, limezikwa rasmi na sasa wawili hao wanaishi vizuri. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, wawili hao walipatanishwa kwenye hafla ya Komunio ya mtoto…

Mtoto Kumpa Mamilioni Wolper

BAADA ya kupigiwa vigelegele vya uzazi, sasa mtoto kumpa msanii Jacqueline Wolper mamilioni. Wolper mwenyewe anacheeeka alipoulizwa kuhusu kuwepo kwa makampuni mawili makubwa ambayo yanataka kumpa mwanaye aitwaye P mkataba wa ubalozi…

Wolper Achimba Mkwara Mzito

MWANADADA anayekiwasha kunako Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe ambaye ni mjasiriamali mkubwa amechimba mkwara mzito.Wolper ametoa onyo kali kwa wale wanawawake wanaopenda kuchukua wanaume za watu. Akizungumza na…

Harmo Kumburuza Wolper Kortini

TUSI la kishari la msanii Jacqueline Wolper Massawe alilomvurumisha mpenzi wake wa zamani Rajabu Abdul Kahali ‘Harmo’ huwenda likamtia matatani, Risasi limedokezwa. Wolper kupitia ukurasa wake wa Instagram hivi karibuni aliandika…

Wolper Kasahau Kuumizwa Penzini

Staa wa filamu ambaye sasa hivi amegeukia kwenye upande wa kudizaini na kushona nguo mbalimbali, Jacqueline Wolper amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa amesehau habari za kuumizwa kimapenzi. Akizungumza na amani, Wolper…

Wolper Atulizwa Tuliii!

Pisi kali inayowakilisha tasnia ya Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe, amekiri kutulizwa tuliii na mpenzi wake mpya aitwaye Rich Mitindo. Wolper ameliambia Gazeti la IJUMAA WIKIENDA kuwa, kwa jinsi anavyowajua…