Kenya Airways yasitisha safari zake kuelekea mjini Kinshasa
Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways limesema litasitisha safari za ndege kuelekea mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Kinshasa, baada ya mamlaka ya kijeshi kushindwa kuwaachilia wafanyakazi wake inaowazuia licha ya amri ya…