The House of Favourite Newspapers

Mrisho Mpoto Ateuliwa Serikalini

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amemteua msanii wa muziki, Mrisho Mpoto 'Mjomba' kuwa Balozi wa Sekta ya Maji nchini ambapo atakuwa akiitangaza Sekta ya Maji kupitia kazi yake ya sanaa anayoifanya katika shughuli mbalimbali za…

Mrisho Mpoto Ajiunga Rasmi CCM

MSANII Mrisho Mpoto, leo Jumamosi, Oktoba 5, 2019 amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kukabidhiwa kadi ya Chama hicho na Katibu Mkuu wake, Dkt. Bashiru Ally. Tukio hilo limefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar…

Mpoto Asikitishwa na Wanamuziki

Na Boniphace Ngumije | UWAZI | SHOW BIZ MWANAMUZIKI anayefanya vizuri katika gemu la Muziki wa Asili nchini, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ ameonyesha kusikitishwa na wanamuziki wenzake wanaofanya muziki wa aina hiyo kwa kukosa ubunifu,…

Sizonje ya Mrisho Mpoto Yamkuna JPM

Utunzi mahiri wa mashairi na ughani uliotukuka wa Mrisho Mpoto, umeligusa sikio la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameeleza kuwa shabiki mkubwa wa kazi za msanii huyo hususan wimbo wake ‘Sizonje’.…