The House of Favourite Newspapers

Mr Blue: Hatukuwaza Kupiga Pesa

MR BLUE a.k.a Byser au Babylon Bizz; ni rapa bora wa wakati wote nchini Tanzania ambaye anasem  Eenzi hizo wakati wanaanza kufanya muziki hawakuwaza kufanya hivyo kwa ajili ya kupiga pesa tofauti na ilivyo sasa. Byser;…

Mr blue afungukia kuoa mke wa pili

MSANII wa Bongo Fleva, Kheri Sameer Rajab ’Mr Blue’ amesema katika vitu ambavyo hajawahi kujutia ni pamoja na yeye kuoa na ana furaha ya kuwa na mke sahihi ambaye hawezi kumshawishi kuoa mke wa pili. Akizungumzia maisha ya ndoa, Blue…

MR BLUE ATAJA NCHI ALIOKIMBILIA

BAADA ya kutoonekana kwa muda hususan kwenye shoo ndani ya Bongo, rapa mkongwe kutoka kiwanda cha Muziki wa Bongo Fleva, Khery Sameer ‘Mr Blue’, ameibuka na kusema kuwa kwa sasa amejikita nchini Afrika Kusini ‘Kwa madiba’ na kwamba…

Mr. Blue Anapiga Kwa Maneno

STAA wa muziki wa Bongo Fleva; Kheer Samir ‘Mr Blue’, afunguka kuwa yeye si mwanaume wa kumpiga ngumi mkewe, bali anapiga kwa maneno. Akipiga stori na Amani, Mr Blue amesema kuwa yeye hajawahi kumpiga mkewe hata kofi, bali…