The House of Favourite Newspapers

Yanga Yaiandalia Dozi Mbeya Kwanza

LEO Jumanne, Mbeya Kwanza watawakaribisha Yanga ambao ni vinara kwenye Ligi Kuu Bara, katika mchezo wa ligi hiyo utakaochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Yanga ambayo imetua jijini Mbeya tangu juzi Jumapili, imepania kufanya kweli na…

AWAMU 5 ZA URAIS NA MAISHA YA WABONGO

HISTORIA ya nchi yetu imejengwa na awamu tano za urais, ukiweka kando tawala la kimila na kikoloni, awamu hizi zinaambatana na hali ya maisha ya watu yalivyokuwa. Pengine kinachotajwa kushangaza wengi ni mpangilio usio rasmi wa tabia za…

Mshindi Wa Nyumba Aanika Ya Moyoni

MSHINDI wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, George Majaba wa Dodoma, ambaye alipokewa kifalme Jumanne iliyopita wakati akiwasili kwa ajili ya kukabidhiwa mjengo wake wa kisasa, ameanika mambo yake ya moyoni mwake kuhusu…