Droo ya Nne ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili Kufanyika Mwezi Huu
DROO ndogo ya nne ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili imewadia na sasa itafanyika mwezi huu kwa washindi kupata zawadi mbalimbali ikiwemo kubwa ya pikipiki.
Afisa Masoko wa Global Publishers, inayoendesha bahati nasibu…