The House of Favourite Newspapers

Meya Ilala Ashiriki Kumswalia Maalim Seif

MSTAHIKI Meya Manispaa ya Ilala Mhe Omary Kumbilamoto akiwa katika Masjid Almul tayari kuupokea mwili wa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, tayari kwa ajili ya kuswaliwa Dar es salaam na kupelekwa airport ili kwenda Zanzibar kwa maziko,…

Maalim Seif Kuzikwa Leo Pemba

Mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad utazikwa leo Alhamisi Februari 18, 2021 mjini Pemba, Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaeleza kuwa…

Maalim Seif Akataa Kuitwa Msaliti

MAKAMU wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema uamuzi wa ACT-Wazalendo na yeye kuridhia kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitafa Zanzibar (SUK) usitafsiriwe kuwa ni usaliti kwa wananchi. Jana Desemba 11,…

Rais Mwinyi Amteua Maalim Seif

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Uteuzi huo umeanza jana Disemba 6, 2020. Hii imekuja baada ya Chama cha…

Maalim Seif Apiga Kura Zanzibar

MGOMBEA urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif,  amefika katika kituo cha Garagara, Jimbo la Mwera,  na kupiga kura mapema leo Jumatano, Oktoba 28, 2020. Aidha,  amesema  ametiwa moyo na watu wengi kujitokeza…