The House of Favourite Newspapers

Sanchi: Sijutii Kubadili Dini

MREMBO ambaye alipata umaarufu kutokana na kujaaliwa umbo matata la kuvutia, Surraiya Rimoy ‘Sanchi’ anasema kuwa, hajutii hata kidogo kitendo chake cha kubadilisha dini kutoka kuwa Mkristo na kuwa Muislam kwani imemfanya awe anajua…

Sancho Anafikirisha

KATI ya wachezaji ambao mashabiki wa Manchester United walikuwa na imani naye kubwa msimu huu, ni winga Jadon Malik Sancho. Raia huyu wa England mwenye umri wa miaka 21, kwa muda mrefu alikuwa akiwindwa na timu nyingi…

Man U Yafunga Kazi kwa Sancho

Jadon Sancho ameripotiwa kuwa tayari ameingia makubaliano na Manchester United na hivyo yupo tayri kudondosha saini kwa kandarasi ya miaka mitano (5) itakayo kuwa inashuhudiwa nyota huyo akivuta mkwanja wa paundi laki 340,000 kwa wiki.…

Sanchi, Kiba Mambo ni Moto!

WAKATI wa Mungu kukujaalia mema ukifika, hakuna awezaye kuzuia! Ndivyo wanavyoamini baadhi ya wafuasi wa mwanamitindo maarufu Bongo, Janey Rimoy ambaye baada ya kubadili dini kutoka Ukristo na kuwa Muislam, sasa anaitwa Surraiya Rimoy…

Sanchi Abadili Dini

Mwanadada mwenye figa matata Bongo, Janey Rimoy maarufu mtandaoni kwa jina la Sanchi au Sanchoka amerejea katika vichwa vya habari, safari hii ikiwa ni kutokana na hatua yake ya kuamua kubadili dini na kuwa Muislamu. Sanchi…

Sanchi apigwa stop nguo za kubana

D AKTARI wa mwanamitindo mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘ Sanchi’ amempiga stop mrembo huyo kuvaa nguo za kubana kwa kipindi hiki ambacho amepandikiza mbegu kwa ajili ya kupata watoto mapacha.  Akizungumza na Risasi Mchanganyiko,…

Waliomchafua Sanchi Watakufa

BAADA ya picha zake chafu kuzagaa mitandaoni, mrembo ambaye ni mwanamitindo ndani na nje ya nchi, Jane Rimoy ‘Sanchi’, ameibuka na kueleza kuwa waliosambaza watakufa kinywa wazi. Akizungumza na Over Ze Weekend, Sanchi alisema…

Mama Lawamani Skendo ya Sanchi

KWA wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii, gumzo kubwa lilikuwa ni skendo ya picha za utupu ambazo anadaiwa kupiga au kupigwa, mrembo mwenye shepu ya aina yake Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’. Lakini pamoja na picha hizo kumhusu Sanchi zaidi,…

Sanchi kupandikiza pacha mwezi ujao

MREMBO mwenye umbo mtikisiko, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema mwezi ujao ndio anatarajia kwenda kupandikiza pacha watatu nchini Afrika Kusini.  Akichonga na Za Motomoto News, Sanchi alisema kwa muda mrefu alikuwa na ndoto ya kufanya hivyo…

Mama wa Sanchi Wala Hamaindi

WAKATI mwanaye akizua mjadala kama wote mtandaoni kuwa anakaa nusu utupu kutokana na vivazi vyake, mama mzazi wa modo mwenye shepu yake Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ wala hamaindi kama kuna tatizo kwa mwanaye. Sanchi ameliambia…

Mnaomsema Sanchi ni Wivu Tu

Modo maarufu Bongo (sociallite) Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema watu wanaomsema kuwa ana miguu mibaya ni wivu tu unawasumbua. Akizungumza na gazeti la ijumaa, Sanchi alisema ameona watu wengi wakimchambua miguu yake kwenye…

SANCHI ANAANGALIA MAHABA ZAIDI

Modo mwenye jina kubwa ndani na nje ya Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameweka wazi kuwa, mwanaume ambaye atamuoa haangalii anatoa mahari kiasi gani, bali anaangalia mahaba yake. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sanchi alisema wengi…