The House of Favourite Newspapers

Lulu: Sijawahi Kupanda Bodaboda

ELIZABETH Michael au Lulu ni mwigizaji ambaye ni nembo ya Bongo Movies kwani alianza kuigiza akiwa na umri wa miaka mitano pekee! Lulu amejikuta kwenye mabishano makali na baadhi ya wafuasi wake kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai…

Lulu: Wala Hata Siwacheki

ELIZABETH Michael almaarufu Lulu ametoka mbali mno na tasnia ya Bongo Movies tangu akiwa na umri wa miaka mitano hadi sasa ni mke na mama wa mtoto mmoja ambaye anasema kuwa, hawezi kuwacheka mastaa ambao wanakwenda kufanya sajari…

Lulu Atema Nyongo kwa Wema

Kimeumana ile mbaya! Kwa mara ya kwanza, baada ya kusambaa kwa ubuyu kwamba ana ugomvi na staa mwenzake wa Bongo Movies, Wema Sepetu, Elizabeth Michael au Lulu amevunja ukimya. Kabla ya Lulu kufunguka kilichomkwaza kwa Wema,…

Lulu Ni Mwanamke Wa Pekee

CEO wa Efm na TvE Bwana Francis Ciza maarufu kama"Majizo" amemwagia sifa kibao mama wa mtoto wake ambaye ni Elizabeth Michael maarufu kama "lulu" kuwa ndiye mwanamke sahihi kwenye maisha yake na alikua na ndoto yakuwa na mwanamke kama…

Ashinda Friji Baada ya Kununua TECNO Camon 17

KAMPUNI ya simu za mkononi TECNO yazawadia washindi wa promosheni ya twende zetu camping kistaa ticket za kutembelea Mbuga za Wanyama Tanzania, fridge, drones na Kinga’amuzi cha DSTV. Promosheni hii ilianza rasmi baada ya uzinduzi wa…

Twende Zetu Camping Kistaa na Camon 17

TECNO inawakumbusha wanafamilia wa TECNO promosheni ya Twenzetu camping kistaa bado inaendelea na zawadi kutolewa na msanii maarufu Elizabeth Michael 15/6/2021. Zawadi zitakazotolewa kwa wateja wa TECNO Camon 17 tulizonazo ni ticket…

Lulu Adaiwa Kuwa Kuwa Mjamzito

JE, ni mwendelezo wa “kufyatua’ watoto kimyakimya kwa mastaa wa kike Bongo kama alivyoanzisha ‘shoo’ hiyo Jackline Wolper?Inawezekana! Maana baada ya Wolper kujifungua mtoto hivi karibuni kwa kuwaspraiz watu, gumzo limehamia…

Lulu Amvaa Shabiki Mtandaoni

WAKATI watu wakiwa bize na habari ya P Funk na binti yake Paula, mara paap staa wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ naye akakiamsha baada yamkujibu kejeli shabiki yake mtandaoni ambaye alikuwa anajaribu kumpa ushauri juu ya uchumba…

Lulu Ajivunia Kulea

STAA wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema anamshukuru Mungu kwa kumsaidia kumlea vizuri mdogo wake Erick mpaka sasa amefanikiwa kuhitimu elimu yake ya msingi Shule ya Feza Boys. Akizungumza na Mikito…