The House of Favourite Newspapers

Kopa: Sina Stress ya Mwanaume!

MWANAMUZIKI mkongwe wa Taarabu, Khadija Omary Kopa amefunguka japo amepitia mtihani mkubwa wa kufiwa na mumewe, lakini mpaka sasa hana stress za mwanaume yeyote yule zaidi ya Mwenyezi Mungu. Akizungumza na Mikito Nusunusu,…