The House of Favourite Newspapers

Davido & Wizkid Wamaliza Bifu

WASANII wakubwa Barani Afrika na duniani kutokea pande za Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun 'Wizkid na David Adedeji Adeleke 'Davido' wamemaliza tofauti zao na sasa hivi wakikutana ni amani. Hii imetokea jana baada ya wakubwa hao…

Davido Atuhumiwa kwa Wizi

Mtumiaji wa Twitter aliyejitambulisha kama “Thug Life” alimtuhumu Superstar huyo wa afrobeats kuwa mwaka 2020 aliiba kazi ya Victor AD baada ya Davido kusikia wimbo huo wakiwa studio wanarekodi wimbo wa Victor AD 'Tire You' na baada ya…

Davido Apishana Na Corona

MKALI wa muziki Afrika, raia wa Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ amethibitishia kuwa ameendelea kupishana na mlipuko wa Virusi vya Corona, baada ya kufanyiwa vipimo mara mbili na kukutwa yupo mzima na wala hana maambukizi. …

Davido Aachia Ngoma Mpya

MWANAMUZIKI nyota kutoka nchini Nigeria Davido ameachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Risky’. Katika wimbo huo, Davido amemshirikisha msanii kutoka Jamaica Popcaan. Wimbo huo ni mwendelezo wa freestyle yake iliyokwenda hewani…

NDOA YA DAVIDO YANUKIA

WAKATI tetesi zikizidi kutapakaa kuwa mrembo Chioma ni mjamzito, Davido ameanza mipango ya kufanikisha ndoa yake na mrembo huyo ambayo huenda ikafanyika mwakani 2020. Kupitia kwenye mtandao wake wa Instagram, Davido ame-share…

DAVIDO AWEKA REKODI HII

MKALI wa muziki Ni ­geria, Davi­do amewe­ka rekodi nchini humo kwa kuwa mwanamuziki wa kwanza kufikisha wafuasi milioni 9 katika ukurasa wake wa Instagram.  Kwa sasa Davido ndiye staa anayekimbiza kwa wafuasi hao akifuatiwa na Wizkid…