Browsing Category
Breaking News
Breaking: Bernard Membe Afariki Dunia Baada ya Kuugua Kwa Muda Mfupi
Habari mbaya zilizotufikia hivi punde leo Mei 12, 2023 zinaeleza kuwa, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Taarifa kutoka kwa mmoja wa watoto wake aliyezungumza na…
Bonge la Ofa: Safiri Bure na Chapride Kila Wikiendi Jumamosi na Jumapili Ndani Dar
Wikiendi ishafika si ndiyo? Kwa nini sasa umekaa kinyonge? Chapride inakupa bonge la ofa itakayoifanya wikiendi yako iwe burudani! Unataka kwenda kula bata? Unataka kwenda shopping au kuwatembelea ndugu jamaa na marafiki?
Sikia hii!…
Mwanamuziki wa Marekani R.Kelly Afungwa Miaka 30 Gerezani
Jaji wa mahakama ya Serikali kuu nchini Marekani imempa mwanamuziki R. Kelly kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kupatikana na hatia ya kutazama ponografia ya watoto na kuwashawishi watoto kufanya ngono.
Lakini amesema mwanamuziki…
Bunge la Russia Laidhinisha Hatua ya Putin Kusitisha Ushirikiano na Marekani
Mabaraza mawili ya bunge la Russia Jumatano yameidhinisha hatua ya Rais Vladimir Putin ya kusitisha ushiriki wa Moscow katika mkataba wa kukagua silaha za nyuklia na Marekani wa mwaka wa 2010 maarufu New START.
Mabaraza mawili ya…
Msanii Maarufu nchini Afrika kusini, Kiernan Jarryd Forbes ‘AKA’ Afariki Dunia
Msanii maarufu kutokea nchini Afrika Kusini, Kiernan Jarryd Forbes 'AKA' ameripotiwa kufariki dunia kwa kupigwa risasi tano yeye pamoja na mtu mwingine katika eneo maarufu la usiku kwenye Barabara ya Durban ya Florida Ijumaa usiku.
Kwa…
Breaking: Ndege Ya Precision Air Yapata Hitilafu Ikiruka Dar Kwenda Dodoma, Nyingine Yatua Kwa…
Ndege mbili za Shirika la Ndege la Precision Air zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata hitilafu na nyingine kulazimika kutua kwa dharura.
Taarifa rasmi iliyotolewa na shirika hilo asubuhi ya leo…
Matokeo Walioshinda Nafasi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba – Video
Walioshinda nafasi ya wajumbe watano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba katika uchaguzi uliofanyika jana Januari 29 na kumalizika leo Januari 30, 2023 ni pamoja na :-
Dkt. Seif Ramadhan Muba - kura 1636
Asha Baraka - kura 1564…
Murtaza Mangungu Ashinda kiti cha Uenyekiti Simba kwa Mara Nyingine – Video
Murtaza Mangungu ameshinda kiti cha Uenyekiti wa klabu ya Simba kwa mara nyingine tena akimpiga chini mgombea Mwenza Moses Kaluwa kwa tofauti ya kura 266.
Katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha…
Breaking: Rais Samia Atengua Uteuzi wa Diwani Athumani Katibu Mkuu Ikulu
Rais Samia Suluhu Hassan leo Januari 5, 2023 ametengua uteuzi Kamishna Diwani Athumani Msuya aliyemteua Januari 3, 2023 kuwa Katibu Mkuu wa Ikulu.
Aidha Rais Samia amemteua Bw Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu wa Ikulu,…
Papa Benedict XVI Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 95
Papa wa zamani Benedict XVI amefariki dunia katika makazi yake Vatican, akiwa na umri wa miaka 95, karibu muongo mmoja baada ya kujiuzulu kwa sababu za kiafya.
Papa Benedict aliongoza Kanisa Katoliki kwa muda…
Mfalme wa soka Duniani Pele Afariki Dunia Akiwa na Umri wa miaka 82 – Video
Pele, mchezaji mashuhuri wa soka wa Brazil aliyeondoka kwenye umaskini wa kutembea peku peku hadi kuwa mmoja wa wanasoka wakubwa na wanaojulikana sana katika historia, alifariki dunia Alhamisi akiwa na umri wa miaka 82.
Pele,…
Breaking News: Kocha Mkwasa wa Ruvu Shooting Ajiuzulu, Atoa Fursa kwa Viongozi Kutafuta Mbadala Wake
KOCHA MKUU wa Klabu ya Ruvu Shooting, Charles Boniface Mkwasa amejiuzulu kuifundisha timu hiyo kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.
Akizungumza na Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM, Mkwasa…
Breaking News: Watu Saba Wafariki kwa Ajali Wilayani Kiteto Mkoani Manyara
Watu sita ambao ni watumishi wa serikali ya wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara Idara ya afya na elimu wamefariki dunia kwa ajali baada ya gari waliyokuwa wamepanda kugongana na gari lingine aina ya Toyota Prado katika eneo la…
Miili 19 Ajali ya Ndege ya Ziwa Victoria Yatambuliwa, RC Chalamila Ataja Majina, Wamo Marubani…
MIILI 19 ikiwa ni pamoja na wanafamilia wawili na Mchina mmoja iliyopatikana kwenye eneo la ajali ya ndege ya abiria kwenye Ziwa Victoria karibu na uwanja wa ndege wa Bukoba imetambuliwa.
Atulinde Biteya na Aneth Biteya,…
Updates: Ndege ya Precision Air Yaanguka Bukoba, 26 Waokolewa Kati ya 43 -Video
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema Ndege ya Precision Air iliyopata ajali wakati wa kutua Bukoba leo Jumapili Novemba 6, 2022 ilikuwa imebeba watu 43 ambapo hadi sasa wameokolewa 26 tu na kupelekwa Hospital ya…
Yanga Yapangwa Kucheza na Club Africain ya Tunisia Kombe la Shirikisho
Ratiba ya Kombe la Shirikisho barani Afrika leo Oktoba 18, 2022 imetangazwa ambapo mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC kutoka Tanzania, Yanga wamepangwa kucheza na timu ya Club Africain ya nchini Tunisia.
Yanga wamepangwa na klabu…
Rais Samia Suluhu Amteua Wakili Mkuu na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wakili Mkuu wa Serikali kama ifuatavyo:
Amemteua Dkt. Boniphace Christopher Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali,…
Mbatia Atimuliwa Uanachama NCCR Mageuzi kwa Tuhuma za Ubadhilifu wa Mali za Chama
MKUTANO mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi umemtimua uanachama aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na kumvua uongozi Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Angelina Rutairwa.
Aidha, mkutano huo ulitaka viongozi…
Rais Samia Atangaza Siku 5 za Maombolezo, Kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza siku tano za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Hayati, Malkia Elizabeth II, kilichotokea tarehe 08 Septemba, 2022 nchini Uskochi.
Maombolezo…
Kim Poulsen Atimuliwa Kuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefikia makubaliano ya kumuondoa kocha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, Kim Poulsen kwenye benchi la ufundi pamoja na wasaidizi wake.
Taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari na Mawasiliano…
Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi TASAF na Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. Peter Ilomo kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Bw. Ilomo ni…
Breaking News: Mmoja wa Pacha Waliotenganishwa Muhimbili Aitwaye Neema Afariki Dunia
MMOJA wa pacha aitwaye Neema waliotenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili amefariki dunia Julai 10, 2022. Aidha mwenzake aitwaye Rehema anaendelea vizuri. Muhimbili imesema watoto hao walifanikiwa kuvuka saa 72 ambazo ni…
Msanii Mkongwe wa Filamu Bi Hindu Afariki Dunia Baada ya Kuugua kwa Muda Mrefu
MSANII wa filamu mkongwe na mtangazaji, Chuma Suleiman almaarufu Bi Hindu, amefariki dunia asubuhi hii, nyumbani kwake, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Taarifa za kifo chake, zimetolewa asubuhi ya Julai 9, 2022 ambapo mjukuu…
Waziri Mkuu wa Zamani wa Japan Afariki Dunia Baada ya Kupigwa Risasi
WAZIRI Mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe aliyepigwa risasi mbili wakati akihutubia katika kampeni ya uchaguzi katika mji wa Nara, amefariki dunia, Shirika la NHK limeripoti.
Shambulio hilo dhidi ya Abe (67) limetokea…
Waziri Mkuu wa Japan Apigwa Risasi Wakati Akitoa Hotoba, Mtuhumiwa Atiwa Mbaroni
WAZIRI Mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe amepigwa risasi wakati akitoa hotuba katika hafla moja mjini Nara, Abe alipigwa risasi mara mbili, huku risasi ya pili ikimpiga mgongoni na kumfanya aanguke chini, ripoti zinasema kuwa alifanya…
Breaking: Matokeo ya Kidato cha Sita na Ualimu Yatangazwa, Yatazame Hapa
BARAZA la Mitihani la Tanzania leo tarehe 5/07/2022 limetangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu 2022. Matokeo hayo yanapatikana kwenye tovuti ya NECTA.
Matokeo hayo yametangazwa na Kaimu Katibu…
Breaking: Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) Sheikh Khalifa Bin Zayed Afariki
Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan amefariki, shirika la habari la Imarati WAM limeripoti muda mfupi uliopita na kusema amefariki akiwa na umri wa miaka 73.
"Wizara ya…
Breaking: Mahakama Kuu Arusha Yamuachia huru Sabaya na Wenzake Wawili
MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Arusha leo Mei 6, 2022 imemuachia huru aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa ya kupinga kuhukumiwa miaka 30 kwenda jela kila mmoja kwa sababu mbalimbali…
Hatimaye Bilionea Namba Moja Duniani, Elon Musk Aununua Mtandao Wa Kijamii wa Twitter Kwa Dola…
Tajiri namba moja duniani, Elon Musk hatimaye amefanikisha dili lake la nguvu la kuununua mtandao wa kijamii wa Twitter kwa dau la dola za Kimarekani dola bilioni 44 pamoja na kununua kila hisa kwa dau la dola 54.20.
Kwa siku kadhaa,…
Breaking News: Rais wa Zamani wa Kenya Mwai Kibaki Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 90
Aliyekuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki Dunia Leo Aprili 22, 2022 akiwa na umri wa miaka 90.
Kibaki alikuwa Rais wa tatu wa Kenya alihudumu kwenye kiti hicho kuanzia Desemba 2002 mpaka Aprili 2013.
Rais wa Kenya Uhuru…
Maunda Zorro Afariki Dunia kwa Ajali ya Gari, Msiba Upo Maweni Kigamboni -Video
#UPDATE Msanii wa Bongo Flava, Banana Zoro ametoa taarifa ya kinachondelea kuhusu msiba wa Maunda Zorro kwa kueleza kwamba kwa sasa msiba upo Maweni Kigamboni kwa Mzee Zorro na taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa baadaye.
…
Breaking: Prof Ngowi Afariki Dunia
Makamu Mkuu wa Chuo Cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Profesa Honest Ngowi na dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo Jumatatu, Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari.
Taarifa za awali zinasema kuwa, ajali…
Gari Ya Mbunge wa Masasi Yateketea Kwa Moto
Mbunge wa Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022.
Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea…
Breaking News: Basi La Kilimanjaro Lapata Ajali
WATU kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Kilimanjaro linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Tunduma, kupata ajali mbaya asubuhi ya leo, machi 14, 2022.
Ajali hiyo…
Tanzia: Rais Rupiah Banda Afariki Dunia
Aliyewahi kuwa Rais wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia leo Ijumaa, Machi 11, 2022 akiwa na umri wa miaka 85.
Banda alikuwa akisumbuliwa na tatizo la saratani ya utumbo ambapo kwa mara ya kwanza aligundulika kuwa na ugonjwa huo…
Mbowe Na Wenzake Watatu Waachiwa Huru – Video
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu, leo Machi 4, 2022 wamefutiwa mashtaka yote yaliyokuwa yakiwakabili katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.…
Mbowe na Wenzake Wakutwa Na Kesi Ya Kujibu
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu imemkuta na kesi ya kujibu, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu katika mashitaka 5 kati ya 6 hivyo wanapaswa kuanza kujitetea.
Uamuzi huo…
Rais Samia Akutana na Tundu Lissu -Video
RAIS Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu.
Mazungumzo hayo yamefanyika baada ya Rais Samia kukubali maombi ya kiongozi huyo wa…
TANZIA: Mwele Malecela Afariki Dunia
TAARIFA za kusikitisha zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Dkt. Mwele Ntuli Malecela amefariki dunia, leo Alhamisi, Februari 10, 2022, Geneva mchini Uswisi.
Mwele Ntuli Malecela alizaliwa tarehe 26 Machi 1963, alikuwa Mkurugenzi…
Serikali Yafungulia Magazeti ya Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima
SERIKALI imeyafungulia rasmi magazeti manne ambayo ni Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima yaliyokuwa yamefungiwa kwa muda mrefu.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi, Februari 10, 2022 na Waziri wa Habari,…