KAMPUNI ya Global Publishers inayochapisha Magazeti ya Risasi, Uwazi, Championi, Amani, Ijumaa na Spoti Xtra, wiki ijayo itatoa zawadi ya tuzo za shukrani kwa wauzaji wa magazeti (mavenda) wapatao 16 ambao walianza na…
JUMAPILI ya juzi, Julai 15 ilikuwa ni siku ya burudani mwanzo mwisho kwa wakazi wa Jiji la Dar wa Salaam na mikoa ya jirani kufuatia shoo bab’ kubwa iliyoporomoshwa na wasanii wakali Bongo, Roma, Juma Nature na Man Fongo.
Shoo hiyo…
WASHINDI wa Shindano la Tusua Maisha na Global linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers, leo wamekabidhiwa zawadi zao katika Ukumbi huo namba moja kwa burudani Jijini.
PICHA NA RIHARD BUKOS | GPL
MKONGWE wa Muziki wa Bongo Fleva, Juma Nature amefanya maajabu katika Uwanja wa Taifa wa Burudani baada ya kuingia jukwaani na kuwakubusha mashabiki wake kwa kupiga nyimbo zake zote kali kuanzia Sonia,…
MKALI wa Singeli, Man Fongo leo ameondoka na kijiji chake alipopanda jukwaani na kupiga nyimbo zake zote kali katika Tamasha ba'b kubwa la Tusua Maisha lililoandaliwa na Global Publishers kwa ajili ya…
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo akizungumza na mavenda (hawapo pichani).
Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho akijibu maswali yaliouliza na mavenda (hawapo pichani) pembeni yake Eric Shigongo…
KISHINDO kikubwa cha aina yake kitasikika leo Jumapili Jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi maarufu wa Dar Live ulioko Mbagala.
Wale washindi wa Shindano la Tusua Maisha na Global linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers, leo…
NGULI kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Juma Kassim ‘Juma Nature’, kesho anatarajia kuangusha shoo ya kibabe kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live katika Tamasha la Kuwashukuru Watanzania lijulikanalo kama Tusua Maisha na…
Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki juzi Jumatano alihamsha shangwe za kutosha kwa mashabiki wake baada ya kufanya sapraiz ya kuuza Magazeti ya Global Publishers maeneo mbalimbali jijini Dar yakiwemo Mbagala Zakhem, Rangi Tatu,…
HUKU mwanamuziki anayekimbiza kwenye gemu la Hip Hop Bongo, Ibrahimu Musa ‘Roma Mkatoliki’, akitarajiwa kupiga shoo ya nguvu Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, leo (Jumatano) atakuwa…
Msanii wa Bongo Fleva, ZaiiD ambaye alitambulika kutokana na nyimbo yake iliyoitoa ya WOWOWO usiku wa kuamkia leo amepiga Bonge la Shoo kwenye Ukumbi wa Dar Live pale Mbagala Zakhiem na kuwaacha mashabiki hoi baada ya kupanda jukwaani…
Global Publishers kupitia shindano la #TusuaMaishaNaGlobal imekuandalia Bonge la Shoo pale Dar Live Mbagala Zakhiem, ni kwa ajili ya kukushukuru wewe msomaji wa magazeti yetu.
Kwenye burudani sasa, jukwaani atakuwepo @romaa2030,…
KAMA ulikuwa hujui sikukuu ya sabasaba hii (7/7) uende kiwanja gani kula bata jibu lake utalipata ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar ambapo wakali kibao wakiongozwa na Barakah The Prince na…
MASTAA 12 akiwemo Ben Pol, Nyandu Toz, Dulla Makabila, Rommy Jones, Huddah Monroe 'The Boss Chick ' Chin Bees pamoja na Queen Darleen walimmsindikiza staa mwenzao kunako Muziki wa Bongo Fleva, Harmonize katika shoo ya Sikukuu ya Idd…
STAA wa Bongo Fleva, Naibu Abdul ' Diamond Platinumz' amefanya sapraizi ya aina yake na kuwashangaza mashabiki zake baada ya kuibuka kwenye shoo ya Usiku wa Kusini 'Kusi Night' iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi…
MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefanya shoo ya aina yake katika Usiku wa Kusi Idd Pili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo MBagala Zakhem jijini Dar.
WAKALI katika Muziki wa Hip Hop Bongo, County Boy, Chin Bees, Walid na Nyandu Tozz wamewapagawisha mashabiki wengi waliofurika katika Usiku wa Kusi Idd Pili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo MBagala Zakhem jijini Dar.…
WAKALI wa Muziki wa Singeli Bongo, Man Fongo na Msaga Sumu usiku wa kuamkia leo wametifuana kwa kila mmoja wao kupiga bonge la shoo katika kuadhimisha Sikukuu ya Idd El Fitri ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo…
MASTAA 12 akiwemo Ben Pol, Nyandu Toz, Dulla Makabila, Rommy Jones, Huddah ‘The Boss Chick’ Chin Bees pamoja na Queen Darleen wanatarajiwa kumsindikiza staa mwenzao kunako Muziki wa Bongo Fleva, Harmonize katika shoo ya Sikukuu ya Idd…
Leo siku ya IDD MOSI kuanzia saa 4:00 asubuhi kutakuwa na michezo ya watoto kwa kiingilio cha TSH 3,000/- na kuanzia saa 12 Jioni mpaka majogoo kutakuwa na Usiku wa Nani Atazima ambapo wasanii wa Bongo Young Killer na Young D…
WAPENZI wa soka hapa nchini, watapata nafasi ya kushuhudia ‘live’ michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika nchini Urusi kupitia luninga kubwa wakiwa sehemu tulivu katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini…
MSANII kutoka kwenye kundi la Wasafi Class Baby (WCB), Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’ kwa kushirikiana na Global Group, anatarajia kutoa shoo babkubwa siku ya sikukuu ya Idd Pili kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar…
KINYANG'ANYIRO cha kutafuta watangazaji bora kilichofanyika katika Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live ulioko Mbagala-Zakhem, jijini Dar es Salaam, kiliisha kwa kuwaibua washindi watatu ambao waliingia mkataba wa…
ILIKUWA ni Pasaka ya aina yake ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar ambapo Jumapili iliyopita ilifanyika shoo kubwa ya aina yake huku wakali wa Singeli, Sholo Mwamba na Man Fongo…
IKIWA ni sehemu ya shamrashamra za Sikukuu ya Pasaka (Aprili Mosi) Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar unatarajia kumwaga headphones kibao za Beats by Dre orijino kwa mashabiki watakaopakuwa…
KUNDI la Muziki wa Taarab, Yah TMK Modern, Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka) linatarajiwa kutoana jasho na kundi kongwe la muziki huo,Jahazi Modern katika shoo bab’kubwa ya Usiku wa Mwisho wa Ubishi itakayofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa…
PRESHA inazidi kupanda na kushuka kuelekea Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka) ambapo mkali wa Singeli, Sholo Mwamba yupo ‘chimbo’ akijifua kukabili shoo bab’kubwa ya Usiku wa Mwisho wa Ubishi itakayofanyika siku hiyo, ndani ya Uwanja wa…
HITMAKER wa Ngoma ya Hainaga Ushemeji, Man Fongo anatarajia kutambulisha ‘dude’ jipya Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka) katika Usiku wa Mwisho wa Ubishi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar.…
MKALI wa Muz-iki wa Singeli, Sholo Mwamba ameweka wazi kuwa atahakikisha anawakalisha mahasimu wake katika muziki huo mapema kabisa kwa KO kwenye shoo kubwa iliopewa jina usiku wa mwisho wa ubishi.
Mkali huyo ambaye ni…
SIKU zikiwa zinah-esa-bika kufikia Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka), wakali wawili wanaotikisa katika Muziki wa Singeli Bongo, Sholo Mwamba na Man Fongo wameanza kuta- mbiana kufun- ikana kila mmoja katika bonge la shoo la Usiku wa…
Kundi la Muziki wa Taarab Yah TMK
KUNDI la Muziki wa Taarab linakuja kasi katika anga la burudani, Yah TMK wamechimba mkwara wa maana kwa wapinzani wao Jahazi Modern kuelekea mchuano mkali wa Nani Mkali Wako utakaofanyika Aprili…
MKALI wa Muziki wa singeli, Dulla Makabila amefunguka kuwa atamtambulisha mwanamke wake wa sasa katika shoo ya Usiku wa Mwisho wa Ubishi itakayofanyika Aprili Mosi, (Sikukuu ya Pasaka) mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar…
WAKATI siku zikielekea kukatika kufikia Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka), Staa wa Singeli, Sholo Mwamba kwa mara ya kwanza anatarajia kukutana uso kwa uso na wakali wenzake wa muziki huo, Man Fongo na Dulla Makabila ndani ya…
IKIWA ni moja ya matukio ya kusherehekea Siku ya Wapendanao, mashabiki wa burudani usiku wa kuamkia leo walikongwa nyoyo zao kwa muziki wa Jahazi Modern Taarab ndani ya Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar.
…
ILE shoo ya kukata na shoka ya usiku wa wapendanao, Valentine's Special imetikisa katika wa Taifa wa Burudani, Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.
Wasanii kibao wamegonga shoo huku mashabiki wakibeng chini kwa chini…
UKIWA ni mwezi wa malavidavi kwa mara ya kwanza kabisa hitmaker wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka anatarajiwa kutoa zawadi kwa wapendanao kwa kupiga nyimbo zake zote za mapenzi sambamba na kutoa zawadi kwa watakaotokea ‘chicha’ Sikukuu ya…
UKIWA ni mwezi wa malavidavi kwa mara ya kwanza kabisa hitmaker wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka anatarajiwa kupiga kwa kutumia vyombo ‘live band’ Sikukuu ya Valentine’s Day (Feb. 14) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani,…
WAMAMA wa uswazi na ushuwani leo Alhamisi wanata-rajiwa kuon-eshana matu-mizi ya nyonga kwenye shindano litakalo-fanyika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na gazeti hili, mratibu…