The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

Lulu Diva

Maskini Mama Wa Lulu Diva

Jina la Lulu Abbas Silangwa au Lulu Diva linapotajwa, wengi watamtambua, hasa vijana wanaohusudu muziki wa Bongo Fleva na sinema za Kibongo. Lulu Diva amejipatia umaarufu kutokana na ndoto yake ya kuwa mwanamuziki bora na muigizaji…

Lulu Diva Asimulia Alivyonusa Kifo!

Sexy lady kunako Bongo Flevani, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesimulia alivyonusa kifo laivu.Katika mahojiano maalum, Lulu Diva ameliambia Gazeti la IJUMAA kuwa, hadi sasa amekuwa akilikumbuka tukio la wiki iliyopita alipokutana uso kwa uso…

Jux, Lulu Diva Mambo Hadharani!

MAMBO ni moto! Hivyo ndivyo wanavyosema wananzengo kufuatia tetesi za kuchipuka kwa penzi jipya na matata mjini likiwahusisha mastaa wawili wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’ na Lulu Abbas ‘Lulu Diva’. Tetesi zilizosambaa wikiendi…

Diva Atakayenioa hajulikani kirahisi

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye anga la Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa licha ya watu kumhusisha na wanaume wengi tofauti lakini mwanaume halisi ambaye atamuoa hawatamjua kirahisi.  Akizungumza na Gazeti la…

 LULU AJIRI BODIGADI WA KIKE

 MWANAMUZIKI anayetamba na wimbo wa Mapopo ulio hewani kwa sasa, Lulu Abasi ‘Lulu Diva’ baada ya pesa kumtembelea ameajiri bodigadi wa kike tofauti na wanamuziki wengi ambao huwa na mabodigadi wa kiume. Akiongea na Risasi…