The House of Favourite Newspapers

Thea, Mike…. Mahaba Kama Yote

MAHABA kama yote! Mastaa wawili ambao waliokuwa wanandoa kabla hawajamwagana, Salome Urassa ‘Thea’ na Michael Sangu ‘Mike’ hivi sasa ni mahaba niue, Risasi Jumamosi linakupa habari kamili. Wawili hao walinaswa hivi karibuni…

Mahaba: Punguza Moto Wali Uive

HALOOOO eeeehhh shoga wanakwambia mjini raha jipe mwenyewe, hata kama mtu mzima nunua pampas kisha jikojolee, kwani bei gani! Unajifanya kuvaa viatu virefu wakati hata ndala ya msalani huna!  Shoga usiwe kama pipa lililokosa mfuniko…

SANCHI ANAANGALIA MAHABA ZAIDI

Modo mwenye jina kubwa ndani na nje ya Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameweka wazi kuwa, mwanaume ambaye atamuoa haangalii anatoa mahari kiasi gani, bali anaangalia mahaba yake. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sanchi alisema wengi…

Zari, King Bae mahaba kama yote!

UNAAMBIWA Instagram kumechafuka balaa! Zilipendwa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ na mpenzi wake mpya maarufu kwa jina la King Bae mambo ni moto, wanaoneshana mahaba kama yote! Achana na yale…

THEA, MIKE SANGU MAHABA BADO YAPO

MASTAA wa filamu za Kibongo, Mike Sangu na Salome Urassa ambao walikuwa ni mume na mke kabla ya kutengana kwa muda mrefu, juzikati walionesha kuwa bado wanapendana kwa kui­tana majina matamu, kitu ambacho kiliwaacha wengi mido­mo wazi.…