The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Nyemo Chilongani

Mwandishi wa habari na hadithi kutoka Global Publishers, Nyemo Chilongani. Na Mwandishi Wetu Hatimaye mwandishi wa habari na hadithi kutoka Global Publishers, Nyemo Chilongani anajiandaa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo nyumbani…

Penzi Lenye Maumivu-6

ILIPOISHIA IJUMAA… Alitamani kumkatalia, lakini wakati mwingine hakuona kama hilo lilikuwa jambo jema kwani hata yeye mwenyewe mwili wake ulikuwa kwenye msisimko mkubwa, hakukuwa na kitu kingine alichokuwa akikihitaji kama kuwa kwenye…

MPENZI WANGU SARAFINA-15

MTUNZI: NYEMO CHILONGANI Ibrahim alirudi mpaka kule alipokuwa akilala na Malaika, alipofika, hakumwambia kitu kwa kuwa alikuwa na watoto wengine, akamvutia pembeni na kwenda naye kukaa sehemu, Malaika alishangaa, haikuwa…