The House of Favourite Newspapers

Idris Sultan Alamba Shavu KISS Condom

Mchekeshaji maarufu hapa nchini amelamba shavu la ubalozi katika kondom mpya ya Kiss ambayo ni maalum kwa ajili ya kuzuia virusi vya Ukimwi pamoja na mimba zisizotarajiwa. Idris amelamba shavu hilo kwenye uzinduzi uliofanyika jijini…

Idris Sultan Asomewa Upya Mashtaka

MSANII wa Vichekesho, Idriss Sultan (27) na wenzake wawili wamesomewa upya mashitaka ya kuchapisha maudhui bila leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumuachia na kumkamata tena.…

Idris Sultan Akamatwa na Polisi Dar

Mchekeshaji huyo ambaye aliwahi kuwa mshindi wa kipindi cha televisheni cha uhalisia cha 'Big Brother Africa' Idris Sultan leo Mei 19, 2020 anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar na anahojiwa katika Kitengo cha Makosa…

IDRIS SULTAN APATA DILI NONO SAUZ

MSHINDI wa Big Brother Afrika 2014 na mchekeshaji, Idris Sultan amealikwa kuhudhuria tamasha kubwa la  Komedi lililoandaliwa na Comedy Central, moja kati ya taasisi kubwa Duniani katika tasnia ya ucheshi na uchekeshaji linalotarajiwa…

Idris Sultan Ampa Pole Mama Lulu

MCHEKESHAJI na mshindi wa Big Brother Africa, Idris Sultan, ametoa pole kwa mama wa mwigizaji Elizabeth Michael 'Lulu', Lucresia Kalugira, kwa kipindi kigumu alichokianza jana baada ya bintiye kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela…

Idris Sultan Ala Shavu Hollywood

Baada ya wiki ya mchakato wa ukaguzi wa karibu, Mshindi wa Big Brother Africa-Hotshots wa 2014, Idris Sultan ataonekana katika filamu inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ya Kimarekani ya 'Ballin ...On the Other Side of the World,'…

Idris na Wenzake Waachiwa Huru

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru msanii wa Bongo Movies na comedy, Idris Sultani pamoja na wenzake wawili kufuatia Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuieleza…

Idris Afunguka Ugomvi na Wema!

MCHEKESHAJI maarufu Bongo ambaye ni Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan amefunguka juu ya kile kinachodaiwa kuwa ana ugomvi mzito na aliyewahi kuwa mpenzi wake (eksi), Wema Isaac Sepetu. Idris amesema…

Kesi ya Idris Yakwama Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Idriss Sultani, Msanii wa Vichekesho na mwenzake Innocent Maiga baada ya upande wa serikali kushindwa kukamilisha kuandaa hoja za awali. …