The House of Favourite Newspapers

Nape Nnauye Ajiuzulu

KATIBU wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai amethibitisha kupokea barua ya mbunge wa Mtama Mh. Nape Nnauye kujiuzulu nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ili aweze kujikita zaidi katika kuwatumikia wananchi wa…

Alichokisema Nape Nnauye Kuhusu CCM

Usiku wa kuamkia leo Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye ameandika ujumbe wake wa wazi aliyowahi kuandika kipindi cha nyuma kuhusu CCM, lengo likiwa ni kuweka kumbukumbu sawa kwa watu kuhusu CCM. “Watu wengi wanaamini nimeisaidia sana…

Nape Nnauye Atia Neno Vurugu za CUF

Stori: Gabriel Ng’oSha |IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Kufuatia watu wanane kuibuka wakiwa na silaha na kusababisha vurugu kwenye mkutano wa viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF), Wilaya ya kinondoni, Dar, Jumamosi iliyopita, Mbunge…

Nape Nnauye aipongeza Global

Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist akimkaribisha Katibu Mwenezi wa CCM na Mbunge Mteule wa Jimbo la Ntama, Nape Nnauye. ...Akitoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Global Publishers. Mwandishi wa Global Publishers,…

Nape Nnauye apata ajali mbaya Lindi

Muonekano wa gari ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, Toyota Land Cruiser baada ya kupata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi…