The House of Favourite Newspapers

Paula: Kwangu Habanduki

PAULA Kajala; ni binti wa mwigizaji wa Bongo Movies, Kajala Masanja au Frida na prodyuza wa Bongo Records, P Funk Majani ambaye kwa sasa yupo masomoni nchini Uturuki akisomea masomo ya uuguzi. Paula amekuwa maarufu zaidi…

Fahyma ‘Atamuua’ Paula

MADAI kwamba, mwanamitindo Fahyma amerudiana na baba wa mtoto wake, Rayvann zinatajwa kuwa zitamuua mpenzi wa sasa wa jamaa huyo, Paula Kajala. Tangu kuondoka kwa Paula kwenda masomoni nchini Uturuki na kumwacha Rayvanny…

Ukweli Kuhusu Pauline Zongo uko Hivi

NAMFAHAMU Pauline Zongo tangu enzi za East Coast Team akiwa kama First Lady wa kundi hilo akiwa na wasanii wengine kama AY, Crazy GK, MwanaFA, Abbas, Snare na wengine mwishoni mwa mwaka 1999 na mwanzoni mwa miaka ya 2000. …