KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Brazil Tite amethibitisha kuwa nyota wa timu hiyo na klabu ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa Neymar Da Silva Junior ataendelea kushiriki mashindano ya fainali ya Kombe la Dunia nchini Qatar na…
MUZIKI na sanaa nyingine za Tanzania vitapata fursa nyingine muhimu kuzidi kupaa kimataifa kufuatia mazungumzo yaliyofanyika kati ya wawakilishi wa Serikali ya Tanzania na wadau wa sanaa katika mji wa Seattle nchini Marekani.
…
KWA mujibu wa taarifa kutoka nchini India, Polisi wamewalaumu panya kwa kuharibu karibu kilo 200 za bangi iliyokamatwa kutoka kwa wauzaji na kuhifadhiwa katika vituo vya Polisi.
"Panya ni wanyama wadogo na hawana hofu na Polisi. Ni…
JUMLA ya watu wasiopungua 37 wamefariki Dunia baada ya kutokea kwa ajali ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la kijiji cha Jakana, kilichopo umbali wa kilomita 35 nje ya mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria.…
NYOTA wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji na klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza Kevin De Bruyne ameshangaa kukabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mchezo kati ya timu yake ya Ubelgiji dhidi ya Canada kutokana na kuamini kuwa hakustahili…
KOCHA mkuu wa klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza, Mhispania Pep Guardiola ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili utakaomfanya kuendelea kuhudumu katika viunga vya Etihad hadi mwaka 2025.
Akiwa na Manchester City…
JUMA Jux; ni staa kabisa wa muziki wa RnB kutoka nchini Tanzania ambaye ameweka maneno sawa kuhusu kile kinachodhaniwa kuwa ni uhusiano wa kimapenzi baina yake na mrembo Paula Kajala ambaye ni mtoto wa muigizaji Kajala Masanja; pisi ya…
HATIMAYE klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza imewekwa sokoni ikiwa ni mara ya kwanza baada ya kipindi cha miaka 17 ya umiliki chini ya familia ya kitajiri ya Glazer kutoka nchini Marekani.
Thamani ya Manchester…
KLABU ya Manchester United pamoja na mshambuliaji Cristiano Ronaldo wamefikia makubaliano ya pamoja ya kuvunja mkataba na kumfanya mchezaji huyo kuwa huru wakati akiwa anaendelea na majukumu yake akiwa na Timu ya Taifa ya Ureno kwenye…
Klabu ya Yanga imeendeleza ubabe wake kwenye Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya klabu ya Dodoma Jiji, pambano ambalo limechezwa kwenye Uwanja wa CCM Liti mkoani Singida.
Mabao ya yote mawili…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kikazi mkoani Manyara ambapo amezindua vihenge pamoja na maghala ya chakula mkoani humo.
TIMU ya Taifa ya Argentina inayoongozwa na nyota na moja ya wachezaji bora duniani wa muda wote Lionel Messi imeanza vibaya mashindano ya fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar kwa kuambulia kichapo cha bao 2-1 dhidi ya Timu ya Taifa ya…
MOTO umezuka na kuteketeza sehemu ya kiwanda cha kuchakata mafuta ya kupikia yatokanayo na mbegu za pamba cha Jielong kilichopo eneo la viwanda Manispaa ya Shinyanga.
Katika ajali hiyo iliyotokea jana majira ya saa 10…
MBUNGE wa Nzega Vijijini na aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangalla ameibuka na kudai kuwa dhambi aliyoifanya Mbunge wa kuteuliwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM dkt Bashiru Ally kwa…
MNAMO tarehe 20 mwezi Machi 1966 ulikuwa ni mwaka ambao michuano ya kombe la dunia ilifanyika huko nchini Uingereza, lakini kabla ya michuano hiyo kufanyika kulitokea tukio ambalo liliwaacha wengi midomo wazi baada ya kombe la dunia…
NYOTA wa Timu ya Taifa ya Ureno na klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo amesema kuwa hana tatizo lolote na mchezaji mwenzake Bruno Fernandes na amesema uhusiano wao ni mzuri.
Vyombo vya Habari barani Ulaya…
MSHAMBULIAJI wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo @cristiano amekuwa mtu wa kwanza kufikisha wafuasi Milioni 500 kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Naye nyota wa Klabu ya Paris Saint Germain…
MWANAUME mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 mpaka 35 amekutwa amefariki katika Bwawa dogo lililopo katika Msitu wa TANWAT eneo la Kibena Mjini Njombe.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ambao ni Walinzi katika…
KLABU ya Chelsea inaripotiwa huenda ikabadili msimamo wake na kufanya usajili wa nyota wa Manchester United na moja yaw achezaji bora wa muda wote wa mpira wa miguu duniani, Cristiano Ronaldo endapo tu Manchester United itamvunjia…
HABARI njema kwa vijana wapenda soka na wateja wa simu kali za Infinix.Kampuni ya simu Infinix imewatambulisha Rasmi Feisal Salum almaarufu Fei Toto anayekipiga katika Klabu ya YANGA na Aishi Manura kipa wa SIMBA kuwa mabalozi wa Promosheni…
WAIGIZAJI wawili wa kike mashuhuri nchini Iran wametiwa hatiani na mamlaka nchini humo kwa kosa la kuandamana kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu.
Hengameh Ghaziani na Katayoun Riahi wameonekana hadharani pasipokuwa na…
NYOTA wa zamani wa klabu ya Manchester United Gary Neville ameibuka na kumtaka Rais wa FIFA Gian Infantino kujisafisha kutokana na kauli tata alizozitoa siku moja kabla ya kuanza kwa mashindano ya Kombe la Dunia nchini Qatar.
…
RAIS wa FIFA Gian Infantino ameibuka leo na kutoa kauli yenye utata ikiwa imebaki siku moja kuelekea ufunguzi wa mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika nchini Qatar.
Infantino ambaye ni raia wa…
MLINZI wa zamani wa klabu ya Arsenal, Manchester City pamoja na Liverpool Kolo Toure yupo mbinoni kuwa kocha mkuu wa klabu ya Wigan Athletic kufuatia klabu hiyo kumtimua kazi kocha wao Leam Richardson wiki iliyopita.
Toure…
KLABU ya Manchester United ipo katika harakati za kuvunja mkataba wa nyota wa klabu hiyo na timu ya Taifa ya Ureno kufuatia kutopendezwa na mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni na mwandishi wa Habari Piers Morgan.
Katika…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amehudhuria na kushiriki Jubilei ya miaka 50 ya Utume na Huduma kwa Waaadventista Wasabato
MWANAFUNZI mkubwa zaidi wa elimu ya msingi nchini Kenya, Priscilla Sitienei amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100.
Sitienei alikuwa maarufu kwa jina la Gogo ambalo kwa lugha ya asili ya kabila la Kalenjin linamaanisha…
NYOTA wa klabu ya Bayern Munich na Timu ya Taifa ya Senegal Sadio Mane atakosekana katika mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia zinazofanyika nchini Qatar mwaka 2022 kutokana na kufanyiwa upasuaji wa mguu wake alioumia wakati…
MSHAMBULIAJI hatar wa klabu ya Yanga raia wa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo Fistob Mayele amesema kuwa alimisi sana kutetema kutokana na kuwa na ukame wa mabao katika michezo mitano mfululizo ya mashindano akiwa ndani ya klabu yake ya…
NYOTA wa zamani wa klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza anayekipiga na mabingwa wa Ulaya Real Madrod, Mbelgiji Eden Hazard amesema hafikirii nah ana mpango wa kuondoka Santiago Madrid mwezi januari labda kama klabu itaamua kumuondoa.…
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuhakikisha linakomesha matukio ya ajali kuelekea mwisho wa mwaka katika mkoa huo limeendelea kutoa elimu kwa madereva na kuwafungia leseni za udereva madereva watano (05) kwa makosa mbalimbali.…
LAZARO ADAMSON (40) mkazi wa Kaloleni wilayani Songwe, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe kwa kumuua Berta Shugha (69), na kisha kuukata kata mwili wake vipande vipande na kuuchoma na kuanza kuula kama mishikaki.…
THE AFRICAN GIANT, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards - MEMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka.
Burna…
KAMA mzalishaji mkubwa wa sukari nchini Tanzania, Kampuni ya Sukari ya Kilombero (KSCL) iliungana na watumiaji kutambua chapa na watu bora kwa kudhamini Tuzo za Consumer Choice Africa.
Baada ya mchakato wa kupiga…
BOHARI ya Dawa (MSD) imeendelea kufanya Maboresho na mageuzi upande wa huduma za kichunguzi na maabara nchini, kwa kuleta vifaatiba vya kisasa, vyenye kutumia teknolojia ya kisasa ili kuenenda sambamba na mabadiliko ya…
NYOTA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo huenda akajiunga na klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani baada ya wakala wake Jorge Mendes kufanya mazungumzo na klabu hiyo.
Ronaldo (37) amekuwa katika mgogoro mzito na…
MSEMAJI wa Serikali Gerson Msigwa ameongea na waandishi wa habari na kutoa taarifa rasmi iliyotolewa na Baraza la Mawaziri Juu ya ajali ya Ndege ya Kampuni ya Precision Air iliyoua watu 19.
WINGA wa klabu ya Chelsea na Timu ya Taifa ya Morocco Hakim Ziyech huenda akatimka klabuni hapo na kuelekea katika viunga vya Estadio Guiseppe Meazza kujiunga na miamba ya soka nchini Italia, Klabu ya AC Milan katika majira ya dirisha…