The House of Favourite Newspapers

Pasaka HUMA ANISHA NINI HASA?

WATU wengi wamejikuta wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka pasipo kujua wanachokisherehekea; wengine ukiwauliza Pasaka ni nini, hawana majibu. Wengine watakujibu kwamba hiyo ni sikukuu tu, kama sikukuu zingine. Nifafanue tu kwamba…