Watumiaji Wenye Tiki za Blue Instagram, Facebook Kuanza Kulipia kila Mwezi
KAMPUNI ya Meta inayomiliki Mitandao ya Instagram na Facebook imetangaza watu wenye tiki za Blue wataanza kulipia malipo yatakuwa Dola 11.99 (Tsh. 27,952) kwa Mwezi au Dola 14.99 (Tsh. 34,945) kwa Watumiaji wa iPhone
Huduma ya malipo…
Dullah Mbabe Kuzichapa Leo, Dully Sykes, Mr Blue Kunogesha Pambano
BONDIA mwenye tambo nyingi mchezoni Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe, leo anatarajiwa kupanda ulingoni kuzichapa na bondia, Kahoro Kahumwa kwenye pambano lisilo la ubingwa ambalo litachezwa kwenye Ukumbi wa The Kukuz…
Nafasi ya Kazi Blue Recruits Limited, FMCG Sales Manager
FMCG Sales Manager
Blue Recruits Limited - Dar Es Salaam, Tanzania
VACANCY: FMCG SALES MANAGER
On behalf of our client, we are looking for a motivated and experienced FMCG sales Manager to…
Mastaa Hawa Wamepita Na Upepo Wa Diamond Na King Kiba Yumo Mr Blue, Chid Benz
DIAMOND Platnumz na King Kiba; ni vinara wa muziki nchini Tanzania ambao wameweka utimu wenye lengo la ushindani kwenye muziki wao, lakini imekuwa ni ngumu kwa wasanii wenzao na watayarishaji kufanya kazi na wakubwa hao kwa wakati…
Mr Blue: Hatukuwaza Kupiga Pesa
MR BLUE a.k.a Byser au Babylon Bizz; ni rapa bora wa wakati wote nchini Tanzania ambaye anasem Eenzi hizo wakati wanaanza kufanya muziki hawakuwaza kufanya hivyo kwa ajili ya kupiga pesa tofauti na ilivyo sasa.
Byser;…
Kiba: Blue Ndio Alinihamasisha Kuingia Kwenye Muziki
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amesema alipata hamasa ya kuingia kwenye Bongofleva baada ya kuwaona Mr. Blue na Abby Skills wakitamba mwanzoni mwa miaka 2000s na baadaye walimsaidia pia ingawa Mr. Blue alimueka wazi mapema kuwa…
Mr blue – KO (Official Video)
Msanii wa muziki Bongo Fleva, Mr Blue ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la
Ko.
Fahamu Kuhusu Tai Nyekundu, Blue, Zambarau Rais JPM Akiapishwa, Kufungua Bunge
UWANJA wa Diplomasia tumepokea maswali mengi kuhusu tai alizovaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli wakati wa kuapishwa kwake Novemba 5, 2020 na siku ya kulifungua Bunge la 12- Novemba 13, 2020. Nasi kama jukwaa…
Mimi Mars Aonesha ‘Mahaba’ Kwa Blue
MREMBOanayefanya poa kunako anga la Bongo Fleva, Mariane Mdee ‘Mimi Mars’ amefunguka kwamba, kwa upande wa wasanii wa kiume anaowazimia, humwambii kitu kwa Khery Sameer Rajab ‘Mr Blue’.
Akizungumza na Risasi Vibes, Mimi…
Mr Blue na Mkewe Wapata Mtoto
MIONGONI mwa stori zilizotengeneza headlines kwenye social media ni kuhusu msanii Khery Sameer Rajab maarufu kama Mr Blue ambaye kupitia post yake ya Instagram ameeleza kuwa amepata mtoto mwingine na mkewe Waheeda.
"Ahsante…
Mr. Blue Anapiga Kwa Maneno
STAA wa muziki wa Bongo Fleva; Kheer Samir ‘Mr Blue’, afunguka kuwa yeye si mwanaume wa kumpiga ngumi mkewe, bali anapiga kwa maneno.
Akipiga stori na Amani, Mr Blue amesema kuwa yeye hajawahi kumpiga mkewe hata kofi, bali…
Video Mpya: Rayvanny Ft Mr Blue – Mama La Mama
Msanii Raymond alimaarufu kama Ray Vanny leo Feb 15, 2020 ameachia video ya wimbo wake mpya wa Mama La Mama akimshirikisha Mr Blue.
Mchomvu Awafungukia Diamond, AliKiba Amtaja Mr Blue
MTANGAZAJI wa kipindi cha XXL cha Clouds Fm na Mwanamuziki, Adam Mchomvu, jana amefanya mahojiano na kipindi cha Bongo 255 kinachoruka kupitia +255 Global Radio iliyopo katika mjengo wa Global Group, Sinza-Mori jijini Dar es Salaam…
VIDEO MPYA: Lulu Diva ft Mr Blue – Naogopa
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Lulu Abbas maauru kama Lulu Diva ameachia video yake mpya ya ‘Naogopa’.
TACAIDS Waipongeza Kampuni ya Cool Blue
TUME ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) leo Novemba 6, 2019 imetembelea Kampuni ya maji safi ya Cool Blue Mikocheni jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuwapongeza kwa kuwa mstari wa mbele kuwafanya watu wajiepushe na kuwa waangalifu…
Fiesta Mwanza: Dk 7 Za Mr Blue Jukwaani, Afunga Dimba Kibabe -Video
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Heri Samiry maarufu kwa jina la ‘Mr Blue’, usiku wa kuamkia leo ametoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake katika Tamasha la Tigo Fiesta 2019 ambalo limefanyika katika katika Uwanja wa CCM Kirumba,…
Mr blue afungukia kuoa mke wa pili
MSANII wa Bongo Fleva, Kheri Sameer Rajab ’Mr Blue’ amesema katika vitu ambavyo hajawahi kujutia ni pamoja na yeye kuoa na ana furaha ya kuwa na mke sahihi ambaye hawezi kumshawishi kuoa mke wa pili. Akizungumzia maisha ya ndoa, Blue…
Mr Blue: Nitamtegemea Chid Benz Hata Iweje
MKALI wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Khery Sameer almaarufu kama Mr.Blue amefunguka kuwa atamtegemea rapa mwenzake Chidi Benz kwenye shoo hata kama akiwa hayupo.
Akizungumza kwenye mahojiano na kipindi cha Big 20 Count Down…
Chid Benz, Mr. Blue, Mobeto Uso kwa Uso Dar Live
PATA picha kwa mara ya kwanza jukwaani unamuona msanii mpya wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto pembeni yake Chid Benz na Mr. Blue unajua nini kitatokea? Kama hujajua basi sogea ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani Dar Live uliopo…
Blue Mark Real Estate: Your Destination For Apartments Needs In Dar!
FOR your apartments requirement in Msasani Beach (Mwalimu Nyerere area, Behind Regency Park Hotel – Dar es salaam) and Mikocheni area - off Garden Road), please contact Blue Mark:
+255 713 839363
+255 754 825338
We have Three,…
Nafasi Ya Kazi: Real Estate Manager Kutoka Blue Mark
Blie Mark Real Estate ni Kampuni ya kupangisha nyumba za kuishi pamoja na ofisi. Kampuni inatafuta kijana wa kiume au wa kike mwenye elimu na sifa zifuatazo
HII KALI! Aliyefukuzwa Shule Kisa MR BLUE Amlilia ZITTO Kabwe – Video
Kila nyuma ya historia ya mtu maarufu au mashuhuri kuna stori kitu ambacho amekipitia, kwa upande wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Uncle B, yeye aliwahi kufukuzwa shule kwa sababu ya kuchora jina la Mr Blue kwenye ukuta wa shule.
…
MR. BLUE: KUNA WAKATI SIAMINI KAMA WATOTO NI WANGU
MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu, kila siku iitwayo leo lengo langu kubwa ni kukupatia kitu ambacho kitau-konga moyo wako. Safu hii ni maalum kabisa kwa mastaa mbalimbali Bongo, ambao tayari wamejaaliwa watoto hivyo wanatudadavulia…
Mr Blue Aungana Na Nandy Kwenye ‘Blue’ Video Mpya
Muunganiko wa Mr Blue na Nandy umetupatia jina la video ya wimbo unaoitwa 'Blue'.
Video imetengenezwa nchini Afrika Kusini pamoja na Tanzania. Imeongozwa na Msafiri Shabani toka Kwetu Studio.
…
MAKAMUZI YA MR BLUE, MWANA FA, USIPIME NEXT DOOR (PICHA +VIDEO)
MAKAMUZI ya wanamuziki Mr blue, Mwana Fa, Billnass na Dogo Aslay, yalikuwa ya aina yake usiku wa kuamkia leo AMBAPO mashabiki wa burudani walifurika ndani ya Club Next Door Arena iliyopo Masaki jijini Dar…
Maua Sama, Roma, Mr Blue, Weusi Wafunika Fiesta Dar (Picha +Video)
WAPENZI wa burudani usiku wa kuamkia leo wamepata burudani ya aina yake katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar wakati Tamasha la Fiesta lililosheheni mastaa kibao lilitoa burudani ya kufa mtu.
Awali tamasha hili…
Video Mpya ‘Hatufanani’ Toka Kwa Shetta, Jux & Mr Blue
Unapokuja kwenye swala la kutaka kujifananisha na baadhi ya watu, Shetta, Jux na Mr Blue wanakataa kuhusiana na hilo na wanakwambia 'Hatufanani'
Video imeongozwa na Hanscana.
Tumekuwekea hapa…
BEAUTY & STYLES: MR Blue Kaja na Mavazi Yake “Sishindani na DIAMOND” -Video
Msanii wa Bongo Fleva, Mr Blue, ameamua kugeukia shughuli za ujasiriamali kwa kuanzisha mavazi yake yenye logo yake ya 'Micharazo'.
Mr Blue ametambulisha brand yake hiyo kupitia Global TV kwenye kipindi cha Beauty &…
Abdi Banda & Mkewe Zabibu Kiba Walivyocheza Blues, Watu Hoi – Video
Baada ya ndoa na harusi kubwa ya Msakata Kabumbu, Abdi Banda, na Mdogo wa Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba anayeitwa Zabibu Kiba kufanyika jijini Dar, hatimaye harusi hiyo ikahamishiwa mkoani Tanga ambapo ndipo nyumbani kwa bwana harusi…
MR BLUE ATAJA NCHI ALIOKIMBILIA
BAADA ya kutoonekana kwa muda hususan kwenye shoo ndani ya Bongo, rapa mkongwe kutoka kiwanda cha Muziki wa Bongo Fleva, Khery Sameer ‘Mr Blue’, ameibuka na kusema kuwa kwa sasa amejikita nchini Afrika Kusini ‘Kwa madiba’ na kwamba…
Jay-Z, Blue Ivy Wajinafsi Bustanini Ziara ya ‘On the Run’ Berlin
RAPA mkali wa Marekani Jay-Z jana (Ijumaa) alivutia mashabiki lukuki alipoamua kupunga upepo na binti yake, Blue Ivy, katika bustani moja jijini Berlin, Ujerumani, ambako yeye na mkewe, Beyonce, wanafanya ziara ijulikano…
Mr Blue: Diamond na Kiba Wana Vitu vya Ziada
Staa wa muziki wa Hip Hop Bongo, Kherry Sameer ‘Mr Blue’, ambaye yupo kwenye gemu tangu mwaka 1999, akiwa amefanikiwa kufanya albamu mbili, Mr Blue na Yote Kheri, amefunguka kuwa wanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Salehe…
Video: Mr Blue, FA Walivyokinukisha Kwenye Jukwaa la #KomaaConcept Dar
Tamasha hilo lilitawaliwa na wasanii kama Dog Aslay, Mr. Blue,Young D, Msaga Sumu, Shalo Mwamba na wengineo waliotoa burudani za kutosha kwa mashabiki wa muziki.
Vile vile, kulikuwa na mchezo wa bahati nasibu uliochezeshwa na kampuni…
Mbowe, Lema na Mbatia Wakicheza Blues (Pichaz + Video)
Joseph Haule 'Profesa Jay' amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Grace Mgonjo. Ndoa ya Prof Jay ambaye ni Mbunge Jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ilifungwa mchana…
Dar Live Idd Mosi: Mr Blue Akifanya Yake Usiku wa Kihistoria
Usiku wa kihistoria msanii wa Bongo Fleva, Mr. Blue ‘Byser’ akifanya yake Idd Mosi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani,Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar usiku huu.
PICHA: RICHARD BUKOS/GPL