The House of Favourite Newspapers
Tags:

Channel Za Bure Kurudishwa DStv

Waziri wa Habari Nape Nnauye leo ametangaza rasmi kurudishwa kwa TV channels za bure kwenye king’amuzi cha DSTV mfano CloudsTV, ITV n.k baada ya kutembelea ofisi za Multichoice Tanzania (DStv) jijini  Dar es salaam. “Moja…

Kauli ya Nape Kuhusu Bunge Live

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema serikali inaliangalia suala la kurejesha Bunge Live ili wananchi waweze kutazama na kusikiliza mijadala inayoendelea bungeni. Nape amesema hayo leo…

Makonda Kusakwa

MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ili ahudhurie katika kesi aliyoifungua dhidi yake na Serikali. …

Whozu Amfunga Breki Tunda

ANASTAZIA Sebastian Kimaro almaarufu kama Tunda, ni mwanadada mrembo ambaye amekuwa akitambulika kama muuza nyago ‘video vixen’ kwenye video za nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva. Tunda ameonekana kwenye video kama Augelina,…

CASTO AWASHUKIA TUNDA, WHOZU!

MTANGAZAJI wa Clouds TV, Casto Dickson ameibuka na kuwavaa aliyekuwa mpenzi wake; Tunda na jamaa wake wa sasa Whozu kuwa waache kumtajataja katika maisha yao mapya waliyoyaanzisha.  Kwenye ukurasa wake, Casto aliwasema Whozu na Tunda…

MUNA AIPANGA NDOA YAKE KICHWANI!

MuigizaJi wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rose alphonce ‘Muna’ amefunguka kuwa, anaiona ndoa yake siku za hivi karibuni hivyo tayari ameanza kuipanga jinsi itakavyokuwa. Akizungumza na amani, Muna alisema kila mtu asimame…